Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 703

Category: Habari za Nyumbani

Serikali Yapunguza Gharama za Chanjo za Mifugo

Posted on: April 5, 2013April 5, 2013 - jomushi
Serikali Yapunguza Gharama za Chanjo za Mifugo

Na Waandishi Wetu- Dar es Salaam-MAELEZO SERIKALI imepunguza gharama za chanjo na dawa za mifugo kutokana na kuanzishwa kwa Taasisi ya Uzalishaji Chanjo za Mifugo…

Continue Reading....

Tanzania Yaionya Malawi Kuhusu Mgogoro wa Mpaka

Posted on: April 5, 2013 - jomushi
Tanzania Yaionya Malawi Kuhusu Mgogoro wa Mpaka

Na Benedict Liwenga, Johary Kachwamba na Magreth Kinabo – MAELEZO SERIKALI ya Tanzania imeitaka nchi ya Malawi iache kutapa tapa juu ya mgogoro wa mipaka…

Continue Reading....

Sherehe ya Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI)

Posted on: April 5, 2013 - jomushi
Sherehe ya Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI)

Matukio ya sherehe za mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Jinsia (GTI), zilizofanyika leo mchana katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Mabibo, jijini…

Continue Reading....

Watanzania wamechoka kuomboleza

Posted on: April 5, 2013April 7, 2013 - Rungwe Jr.
Watanzania wamechoka kuomboleza

      Taifa bado linaomboleza jamaa na ndugu waliokufa katika ajali mbaya ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 lililokuwa likiendelea kujengwa katika mtaa…

Continue Reading....

Msuguano Mkali Kamati za Bunge Tanzania

Posted on: April 5, 2013 - jomushi
Msuguano Mkali Kamati za Bunge Tanzania

WABUNGE wameendelea kusuguana na Serikali katika vikao vya Kamati za Bunge vinavyojadili mapendekezo ya bajeti za wizara mbalimbali, hali inayoashiria kwamba huenda kukawa na msuguano…

Continue Reading....

Watu 45 Kushtakiwa Vurugu za Huko Tunduma

Posted on: April 5, 2013 - jomushi
Watu 45 Kushtakiwa Vurugu za Huko Tunduma

WATU 45 watafikishwa mahakamani wakihusishwa na vurugu zilizozuka juzi katika Mji wa Tunduma. Vurugu kubwa ziliibuka juzi kwenye Mji mdogo wa Tunduma ambao ndiyo Makao…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari