Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 503

Category: Habari za Nyumbani

Askofu Fortunatus Lukanima Afariki Dunia, Rais Kikwete Atuma Rambirambi

Posted on: March 13, 2014 - jomushi
Askofu Fortunatus Lukanima Afariki Dunia, Rais Kikwete Atuma Rambirambi

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Muadhama Polycarp Kardinali Pengo na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kufuatia kifo cha Mhashamu Askofu Mstaafu…

Continue Reading....

Sensa Yaonesha Idadi Kubwa ya Watanzania ni Watoto, JK Apokea Taarifa

Posted on: March 13, 2014 - jomushi
Sensa Yaonesha Idadi Kubwa ya Watanzania ni Watoto, JK Apokea Taarifa

Na Mwandishi Maalumu PIRAMIDI ya Idadi ya Watu nchini Tanzania inaonesha kuwa idadi kubwa ya watu hapa nchini ni watoto wenye umri wa chini ya…

Continue Reading....

Dk. Pindi Chana Afunguwa Mkutano Mkuu wa Baraza la Watoto la Tanzania Mkoani Morogoro

Posted on: March 13, 2014 - jomushi
Dk. Pindi Chana Afunguwa Mkutano Mkuu wa Baraza la Watoto la Tanzania Mkoani Morogoro

Hassan Mabuye)  Na Hassan Mabuye, Morogoro NAIBU Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Pindi Chana (Mb) amefungua Mkutano Mkuu wa siku mbili wa…

Continue Reading....

Waziri Samia Suluhu Ndiye Makamu Mwenyekiti Bunge la Katiba

Posted on: March 13, 2014 - jomushi
Waziri Samia Suluhu Ndiye Makamu Mwenyekiti Bunge la Katiba

Na Mwandishi Wetu MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Bi. Samia Suluhu Hassan amechaguliwa leo…

Continue Reading....

Biashara za Vodaboda, Bajaji na Mikokoteni Marufuku Katikati ya Jiji Dar

Posted on: March 12, 2014 - jomushi
Biashara za Vodaboda, Bajaji na Mikokoteni Marufuku Katikati ya Jiji Dar

Na Aron Msigwa –MAELEZO MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Mecki Sadiki amewaagiza viongozi na watendaji wa Jiji la Dar es Salaam kuhakikisha…

Continue Reading....

Chadema Waumbuka, Washindwa Kutaja Sheria Inayowaruhusu Kulinda Kura Kituoni

Posted on: March 12, 2014 - jomushi
Chadema Waumbuka, Washindwa Kutaja Sheria Inayowaruhusu Kulinda Kura Kituoni

Na Bashir Nkoromo, Iringa WAWAKILISHI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na Mratibu wa Kampeni za chama hicho uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari