Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 501

Category: Habari za Nyumbani

Wananchi Rukwa Waungamkono Serikali Kutenga Bajeti Maalum Kukabiliana Vifo vya Uzazi

Posted on: March 16, 2014 - jomushi
Wananchi Rukwa Waungamkono Serikali Kutenga Bajeti Maalum Kukabiliana Vifo vya Uzazi

ZAIDI ya wananchi 16,828 wa Mkoa wa Rukwa wamesaini ombi la haki (petition), wakiiomba Serikali kutenga bajeti mahususi ili kuviinua vituo vya afya nchini viweze…

Continue Reading....

JK Apokea Ujumbe Maalumu wa Rais Jacob Zuma

Posted on: March 16, 2014 - jomushi
JK Apokea Ujumbe Maalumu wa Rais Jacob Zuma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Machi 16, 2014, amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini. Ujumbe…

Continue Reading....

Mtandao wa Wanawake na Katiba Walipongeza Bunge la Katiba Kuonesha Usawa wa Jinsia

Posted on: March 16, 2014 - jomushi
Mtandao wa Wanawake na Katiba Walipongeza Bunge la Katiba Kuonesha Usawa wa Jinsia

Na Mwandishi Wetu MTANDAO wa Wanawake na Katiba wenye mashirika zaidi ya 50 yanayotetea haki za wanawake katika Katiba mpya, umelipongeza mchakato na matokeo ya…

Continue Reading....

Hotuba ya JK Kulizinduwa Bunge la Katiba Jumanne/Jumatano

Posted on: March 15, 2014 - jomushi
Hotuba ya JK Kulizinduwa Bunge la Katiba Jumanne/Jumatano

Na Zamaradi Kawawa, MAELEZO, Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete anatarajiwa kulihutubia Bunge Maalum la Katiba Kati ya Jumanne na Jumatano…

Continue Reading....

Mkurugenzi Maelezo Azungumzia Maadhimisho Miaka 50 ya Muungano…!

Posted on: March 14, 2014 - jomushi
Mkurugenzi Maelezo Azungumzia Maadhimisho Miaka 50 ya Muungano…!

Wakati huo huo, inaripotiwa kuwa Wananchi wa Tanzania wamepongezwa kwa kufikia miaka 50 ya Muungano huku wakiulinda na kuuimarisha mpaka Leo. Hayo yamesemwa na Balozi Job…

Continue Reading....

Tukiufuta Muungano Tumefuta Utaifa Wetu – Capt. Chiligati

Posted on: March 14, 2014 - jomushi
Tukiufuta Muungano Tumefuta Utaifa Wetu – Capt. Chiligati

Na Jovina Bujulu, Maelezo Dodoma   MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar kwa miaka 50 umekuwa ni undugu hivyo kuufuta ni sawa na kufuta utaifa wetu na kukaribisha ukabila.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari