Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 470

Category: Habari za Nyumbani

JK, Waziri Mkuu wa China Wazungumzia Mahusiano

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
JK, Waziri Mkuu wa China Wazungumzia Mahusiano

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Mei 7, 2014 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China,…

Continue Reading....

TRA Yapata Kamishna Mkuu Mpya, Ni Rished Bade

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, TRA
TRA Yapata Kamishna Mkuu Mpya, Ni Rished Bade

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Rished Bade kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Kulingana na Katibu…

Continue Reading....

Upinzani Watoa Masharti Magumu Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Uchaguzi Mkuu 2015
Upinzani Watoa Masharti Magumu Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015

SERIKALI imetakiwa kuandaa taratibu za mpito za kushughulikia Uchaguzi Mkuu ujao ili kunusuru nchi kuingia katika mtanziko unaoweza kuwa chanzo cha machafuko ya kisiasa, endapo…

Continue Reading....

Ujumbe wa Leo!

Posted on: May 7, 2014May 7, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: Dar, leo, Ujumbe
Ujumbe wa Leo!

Ujumbe wa leo kama ulivyonaswa na Mpiga picha wetu, unasema “Kazi Mbaya Uwe Nayo” , maana yake kazi utaiona mbaya kama unayo. Ukiwa huna kazi,…

Continue Reading....

Rais Kikwete Awasili Abuja, Nigeria

Posted on: May 7, 2014May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Rais Kikwete
Rais Kikwete Awasili Abuja, Nigeria

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili kwenye mji mkuu wa Nigeria wa Abuja usiku wa jana, Jumanne, Mei 6, 2014…

Continue Reading....

Mahabusu Wavua Nguo Mhakamani Kupinga Wenzao Kuachiwa

Posted on: May 7, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mahabusu Wavua Nguo
Mahabusu Wavua Nguo Mhakamani Kupinga Wenzao Kuachiwa

MAHABUSU wa Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha, jana walizua tafrani katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini hapa, baada ya kuvua nguo na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari