Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 471

Category: Habari za Nyumbani

JK Aenda Abuja Kwenye Mkutano wa Uchumi

Posted on: May 6, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Rais Kikwete
JK Aenda Abuja Kwenye Mkutano wa Uchumi

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka leo tarehe 6 Mei, 2014 kuelekea Abuja, Nigeria kuhudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic…

Continue Reading....

Serikali Kuja na Mpango wa Kutibu Magonjwa Yasiopewa Kipaumbele

Posted on: May 6, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Magonjwa
Serikali Kuja na Mpango wa Kutibu Magonjwa Yasiopewa Kipaumbele

Na Magreth Kinabo – Maelezo SERIKALI inaandaa mpango wa kutoa huduma za magonjwa yasiyopewa kipaumbele (NTD,s) kwa pamoja ili kuweza kufikia watu wengi kwa kupunguza gharama.…

Continue Reading....

Dk Laurent Shirima Ateuliwa Mtendaji Mkuu wa PPRA

Posted on: May 6, 2014 - jomushi
Dk Laurent Shirima Ateuliwa Mtendaji Mkuu wa PPRA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dk Laurent M. Shirima kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa…

Continue Reading....

Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2014

Posted on: May 6, 2014May 6, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Uhuru wa Vyombo vya Habari
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2014

Na Mwandishi Wetu Jaji Mstaafu Mark Bomani amesema lengo la mchakato wa Katiba ni kuhakikisha kwamba Tanzania inapata Katiba ambayo ni bora zaidi kuliko zote…

Continue Reading....

Watoto wa NELICO Watembelea KIVULINI…!

Posted on: May 6, 2014 - jomushi
Watoto wa NELICO Watembelea KIVULINI…!

Afisa Utetezi na Mitandao ya Kijamii toka Shirika la KIVULINI Bi. Khadija Liganga akifafanua jinsi KIVULINI ilivyoweza kuliinua Shirika la Mtandao la Watoto la Jijini…

Continue Reading....

Mabasi ya Kasi Dar Kuanza Mwishoni mwa 2014

Posted on: May 6, 2014May 6, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mabasi ya Kasi Dar
Mabasi ya Kasi Dar Kuanza Mwishoni mwa  2014

Na Frank Mvungi- Maelezo SERIKALI inatarajia kuanza kutoa huduma za awali (interim services) katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) kutoka Kimara mwisho hadi Kivukoni…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari