Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 469

Category: Habari za Nyumbani

Rais Kikwete Atua DRC, Amtumia Rambirambi Joyce Banda

Posted on: May 10, 2014 - jomushi
Rais Kikwete Atua DRC, Amtumia Rambirambi Joyce Banda

RAIS Jakaya Kikwete amewasili mjini Kinshasa, Jamhuri ya Watu wa Kongo (DRC)tarehe 9 Mei,2014 kwa ziara ya kikazi akitokea nchini Nigeria ambapo amehudhuria Mkutano wa…

Continue Reading....

Walimu Wapya Wilaya ya Handeni Waonja Joto ya Jiwe

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Walimu Msingi
Walimu Wapya Wilaya ya Handeni Waonja Joto ya Jiwe

Na Joachim Mushi WAAJIRIWA wapya wa fani ya ualimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga wameanza kazi kwa kuonja machungu…

Continue Reading....

Rais Kikwete Awasilisha Rambirambi za Watanzania kwa rais wa Nigeria

Posted on: May 8, 2014May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Rais Kikwete
Rais Kikwete Awasilisha Rambirambi za Watanzania kwa rais wa Nigeria

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Mei 8, 2014, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan katika Hoteli ya…

Continue Reading....

Tanzania Yasaini Msaada wa Bilioni 134 Kusaidia Kilimo na Usafirishaji

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Kilimo na Usafirishaji
Tanzania Yasaini Msaada wa Bilioni 134 Kusaidia Kilimo na Usafirishaji

Na Eleuteri Mangi – MAELEZO SERIKALI ya Tanzania imetiliana saini mkataba wa msaada wa zaidi ya Shilingi Bilioni 134 sawa na Euro milioni 59.5 kutoka…

Continue Reading....

Wanaharakati Wamtaka Rais Kikwete Kuvunja Bunge la Katiba

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Wanaharakati
Wanaharakati Wamtaka Rais Kikwete Kuvunja Bunge la Katiba

Na Mwandishi Wetu WANAHARAKATI  kutoka sehemu mbalimbali wametoa rai kwa Rais Jakaya Kikwete kulivunja Bunge maalum la Katiba  ili kuunda Bunge huru litakalokuwa na wawakilishi…

Continue Reading....

Kiongozi UNDP, Helen Clark Kufanya Ziara Tanzania Mei, 2014

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, UNDP
Kiongozi UNDP, Helen Clark Kufanya Ziara Tanzania Mei, 2014

MKUU wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Helen Clark, atafanya ziara nchini Tanzania kuanzia Mei 10 hadi 13, 2014. Kwa mujibu wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari