Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 456

Category: Habari za Nyumbani

Wabunge wa Tanzania Bunge la Afrika Mashariki Wamtetea Margaret Zziwa Kung’olewa

Posted on: June 9, 2014 - jomushi
Post Tags: Wabunge EALA Tanzania Wamtetea Zziwa
Wabunge wa Tanzania Bunge la Afrika Mashariki Wamtetea Margaret Zziwa Kung’olewa

TAMKO LA PAMOJA LA WABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) JUU YA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO 0/06/2014…

Continue Reading....

Pinda Acharuka, Awatolea Uvivu Watendaji Dodoma

Posted on: June 8, 2014 - jomushi
Pinda Acharuka, Awatolea Uvivu Watendaji Dodoma

ILE hali ya kufanya kazi kwa mazoea (business as usual) iliyojengeka kwa baadhi ya watendaji wa Serikali leo imewatokea puani watendaji wa Manispaa ya Dodoma wakati…

Continue Reading....

Tajiri Afanya Ukatili wa Kutisha kwa ‘House Girl’ Atumia Pasi ya Moto…!

Posted on: June 7, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Tajiri Afanya Ukatili wa Kutisha
Tajiri Afanya Ukatili wa Kutisha kwa ‘House Girl’ Atumia Pasi ya Moto…!

*Adaiwa kumng’ata, kumchoma pasi mtumishi wake kwa miaka mitatu MFANYAKAZI wa ndani (house girl), Yusta Lucas (20) amekumbana na masahibu yanayofanana na yale ya mtoto…

Continue Reading....

Mahakama Yaondoa Kinga ya Wabunge Kushtakiwa

Posted on: June 7, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Wabunge Kushtakiwa
Mahakama Yaondoa Kinga ya Wabunge Kushtakiwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imefungua milango kwa mawaziri na wabunge kufunguliwa mashtaka kutokana na kauli watakazozitoa bungeni ambazo ni kinyume cha Katiba…

Continue Reading....

TGNP Yafanya Mjadala wa Wazi Juu ya Uboreshaji na Uwajibikaji

Posted on: June 6, 2014June 6, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mjadala wa Wazi wa Uboreshaji na Uwajibikaji
TGNP Yafanya Mjadala wa Wazi Juu ya Uboreshaji na Uwajibikaji

  Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MTANDAO wa Jinsia nchini (TGNP Mtandao) umefanya mjadala wa wazi ulioshirikisha taasisi mbalimbali zisizo za Serikali (NGO’s) pamoja…

Continue Reading....

Sakata la UDA Prof. Kapuya ‘ajivua nguo’ Bungeni

Posted on: June 5, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Sakata la UDA na Prof. Kapuya
Sakata la UDA Prof. Kapuya ‘ajivua nguo’ Bungeni

MBUNGE wa Urambo Magharibi, Prof. Juma Kapuya (CCM), ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi wa zamani, jana alijikuta katika wakati mgumu wa kuumbuliwa na mbunge…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari