Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 457

Category: Habari za Nyumbani

Mwenge Wapata Ajali, Polisi Watatu Wajeruhiwa, Wanahabari Wapokwa Camera…!

Posted on: June 5, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mwenge Wapata Ajali
Mwenge Wapata Ajali, Polisi Watatu Wajeruhiwa, Wanahabari Wapokwa Camera…!

ASKARI polisi watatu kati ya watano, wameumia vibaya baada ya gari walilokuwa wakisindikizia Mwenge wa Uhuru kupata ajali mkoani Singida huku waandishi wa habari na…

Continue Reading....

Tanzania Yakwanza Kutumia Mabasi ya Kasi EAC

Posted on: June 3, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mabasi ya Kasi Tanzania
Tanzania Yakwanza Kutumia Mabasi ya Kasi EAC

  WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi za kwanza katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kuingia kwenye ubia na sekta binafsi katika mradi…

Continue Reading....

Tanzia; TGNP Mtandao Yampoteza Mwanachama Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Kwanza

Posted on: June 3, 2014 - jomushi
Post Tags: Tanzia; TGNP Mtandao
Tanzia; TGNP Mtandao Yampoteza Mwanachama Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Kwanza

TGNP Mtandao tumepata pigo kubwa  kwa kumpoteza mwanaharakati na Mwenyekiti wa kwanza wa shirika, aliyefariki Juni 2, 2014 Ubungo Msewe Dar es Salaam. Fides Chale alikuwa…

Continue Reading....

Zitto Atoa ya Moyoni, Kwenye Mazishi ya Mamayake…!

Posted on: June 3, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Zitto Atoa ya Moyoni
Zitto Atoa ya Moyoni, Kwenye Mazishi ya Mamayake…!

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (CHADEMA), amewaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watakaporejea Agosti 5, wapitishe rasimu ya pili ya katiba kama njia…

Continue Reading....

Utumbo wa Pacha Aliyekuwa Ameungana na Mwenzake Uko Nje

Posted on: June 3, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Utumbo wa pacha watoka nje
Utumbo wa Pacha Aliyekuwa Ameungana na Mwenzake Uko Nje

MMOJA wa watoto pacha waliozaliwa wakiwa wameungana na kutenganishwa kwa upasuaji nchini India, hali yake ni mbaya na utumbo wake mkubwa sasa umetoka nje. Mtoto…

Continue Reading....

Mahakama Yawataka Viongozi wa Dini Kuhubiri Amani

Posted on: June 2, 2014 - jomushi
Mahakama Yawataka Viongozi wa Dini Kuhubiri Amani

Yohane Gervas, Rombo VIONGOZI wa dini wameshauriwa kuwaongoza waumini wao kuhuburi Amani na kujiepusha na migogoro kwani migogoro haina tija yeyote. Ushauri huo umetolewa na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari