HILI linawezekana kuwa ni tukio la kwanza na la aina yake. Majambazi wanaokisiwa kuwa sita, wakiwa na pikipiki tatu, juzi walivamia Kituo Kidogo cha Polisi…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Wananchi Waeleza Mafanikio ya Utafiti Raghbishi wa TGNP
WANAHARAKATI ngazi ya jamii kutoka mikoa ya Morogoro, Shinyanga, Mbeya, Mara na Jijini Dar es Salaam wamesema utafiti wa kiragibishi unaofanywa na Mtandao wa Jinsia…
Continue Reading....Dk Huvisa Aingia Bodi ya Chuo cha Mwalimu Nyerere, Dk Ole Medeye Apeta SADC PF
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemchagua Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Dk. Terezya Huvisa kuwa Mjumbe wa Bodi…
Continue Reading....Mjadala Washauri Kuundwa Sheria ya Kusimamia Utekelezaji Bajeti
Na Joachim Mushi BAADHI ya wanaharakati wamevitaka vyombo vinavyotunga sheria nchini kwa pamoja kwa kushirikiana na wanaharakati kuhakikisha wanashinikiza kutungwa kwa sheria itakayo simamia bajeti…
Continue Reading....Sekondari ya WAMA Yasaidiwa Basi la Shule
Na Anna Nkinda – Maelezo SHULE ya Sekondari ya WAMA-Nakayama inayomilikiwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) imepatiwa msaada wa basi na kampuni ya Ashok…
Continue Reading....Balozi Mpya wa Marekani Ajitambulisha kwa Dk Bilal
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal amekutana na Balozi mpya wa Marekani, Balozi Mark Childress ambaye amefika ofisini…
Continue Reading....