Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 436

Category: Habari za Nyumbani

CBE Yazindua Maadhimisho ya Miaka 50

Posted on: August 1, 2014 - jomushi
CBE Yazindua Maadhimisho ya Miaka 50

Na.Aron Msigwa –MAELEZO. Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) kimezindua rasmi maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwake huku wadau na wanafunzi…

Continue Reading....

WHC ni Mkombozi wa Watumishi wa Umma Tanzania

Posted on: July 31, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, WHC ni Mkombozi wa Watumishi wa Umma
WHC ni Mkombozi wa Watumishi wa Umma Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Dar KWA watumishi wa umma uanzishwaji wa Watumishi Housing Company (WHC) ambao ni mpango wa makazi kwa watumishi wa umma ni mkombozi…

Continue Reading....

Watoto Wadaiwa Kumnyonga Mwenzao na Mumning’iniza Mtini

Posted on: July 31, 2014July 31, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, watoto wamnyonga mwenzao
Watoto Wadaiwa Kumnyonga Mwenzao na Mumning’iniza Mtini

WAKAZI wa Kijiji cha Masusu, Kata ya Gisambalang wilayani Hanang’ katika Mkoa wa Manyara wamepatwa na mshtuko kutokana na tukio lenye utata la kuuawa mtoto…

Continue Reading....

Kikwete Nyota wa Demokrasia Afrika 2014, Apewa Tuzo

Posted on: July 31, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Kikwete Nyota wa Demokrasia Afrika 2014
Kikwete Nyota wa Demokrasia Afrika 2014, Apewa Tuzo

Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa tuzo la kimataifa – zamu hii kwa kuwa…

Continue Reading....

Ajali ya Basi la Morobest na Rori Yaua 17 na Kujerui 56

Posted on: July 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Basi la Morobest na Rori Yaua 17, featured
Ajali ya Basi la Morobest na Rori Yaua 17 na Kujerui 56

WATU 17 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 56 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Morobest namba za usajili T258 AHV lililokuwa likitokea Mpwapwa kuelekea…

Continue Reading....

Matukio Picha Katika Baraza la Idd El Fitr Jijini Dar

Posted on: July 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Baraza la Idd El Fitr Jijini Dar
Matukio Picha Katika Baraza la Idd El Fitr Jijini Dar

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Kamilius Membe, akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim, huku waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye (kulia) akifuatilia mazungumzo hayo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari