Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Jumatatu, Julai 28, 2014, amekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mabosi IMTU Mapanda Kizimbani, DPP Awafutia Mashtaka
SAKATA la kutupwa kwa viungo vya binadamu bila kufuata utaratibu jana liligeuka sinema wakati maofisa wanne wa Chuo Kikuu cha Tiba na Teknolojia (IMTU), walipofikishwa…
Continue Reading....Matumizi ya Tiketi Mtandao; SUMATRA Waiumbua CHAKUA
Rose Masaka – MAELEZO Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafirishaji Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imepinga kwamba haiwezi kuwalazimisha abiria wa mikoani kutumia…
Continue Reading....Rambirambi Msiba wa Alhaji Rajab Kundya…!
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Parseko Ole Kone kuomboleza kifo…
Continue Reading....Salma Kikwete Ataka Wanawake Wenye Fistula Kujitokeza
Na Anna Nkinda – Maelezo Lindi WANAWAKE wenye tatizo la ugonjwa wa Fistula wametakiwa kutokuogopa na kukaa kimya bali wajitokeze hadharani kwa kwenda Hospitali kupata…
Continue Reading....Tusikubali Kugeuzwa Mtaji na Wanasiasa – Mizengo Pinda
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amewaonya Watanzania kuwa makini na watu wanaotumia rushwa ili kupata nafasi za uongozi na hasa kwenye uchaguzi mkuu…
Continue Reading....