MSHINDI wa Maisha Plus (Mama shujaa wa chakula) msimu wa tatu 2014, Bahati Jacob Muriga hatimaye amekabidhiwa zawadi zake nyumbani kwake Ukerewe. Zawadi hizo ni pamoja…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mama Pinda Asema Wanawake Duniani Wanalilia Amani
MKE wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda amesema wanawake wote duniani wanalilia amani na hawapendi vita wala machafuko kwani husababisha amani kutoweka kwenye familia…
Continue Reading....Mtoto Amuua Baba Yake kwa Rungu
MTU mmoja mmwenye umri kati ya 65-70 ameuawa baada ya kupigwa na Rungu kichwani na mtu anayedaiwa kuwa ni mtoto wake, Mkazi wa Wilaya ya…
Continue Reading....Que Bac Mabingwa Mbagala Cup, Watwaa Mbuzi na Jezi
TIMU ya Vijana ya Mpira wa Miguu ya Que Bac ya Mbagala Kipati jijini Dar es Salaam jana imeibuka bingwa wa Mashindano ya Mbagala Cup…
Continue Reading....Wanawake Madereva Sasa Hatarini Arusha
WANAWAKE wanaoendesha magari katika Jiji la Arusha, wamekumbwa na hofu kutokana na kuibuka watu wasiojulikana ambao wanawashambulia kwa risasi. Washambuliaji hao ambao hutumia pikipiki, katika…
Continue Reading....