Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 431

Category: Habari za Nyumbani

Manispaa Kinondoni Yaitaji Bil. 1.3 Ujenzi wa Maabara

Posted on: August 13, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Kinondoni Yaitaji Bil. 1.3 Ujenzi wa Maabara
Manispaa Kinondoni Yaitaji Bil. 1.3 Ujenzi wa Maabara

MANISPAA ya Kinondoni inahitaji jumla ya Shilingi bilioni 1.3 ili kutekeleza agizo la Rais Jakaya Kikwete aliyezitaka halmashauri zote kuhakikisha zinajenga maabara katika shule za Sekondari…

Continue Reading....

Bi Vailet Sekwao wa Dodoma Anaomba Msaada wa Matibabu

Posted on: August 12, 2014 - jomushi
Bi Vailet Sekwao wa Dodoma Anaomba Msaada wa Matibabu

Na John Banda, Kongwa   BI. Vailet Sekwao (40) mkazi wa kijiji cha Mtanana Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma, anaomba msaada wa kifedha kiasi cha…

Continue Reading....

Hakuna Dini ya Kweli Inayochochea Mauaji – Dk Khimulu

Posted on: August 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Hakuna Dini ya Kweli Inayochochea Mauaji - Dk Khimulu
Hakuna Dini ya Kweli Inayochochea Mauaji – Dk Khimulu

MJUMBE wa Baraza la Uendeshaji la UNESCO linalosimamia ukuzaji wa utamaduni, Dk. Mary Mbiro Khimulu amesema machafuko na mauaji hayana uhusiano wowote na dini ambayo…

Continue Reading....

Mbunge UKAWA Asema Hofu ya Mungu Imemrudisha Bungeni

Posted on: August 11, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mbunge UKAWA Asema Hofu ya Mungu Imemrudisha Bungeni
Mbunge UKAWA Asema Hofu ya Mungu Imemrudisha Bungeni

Na Magreth Kinabo, Dodoma MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Said Arfi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na…

Continue Reading....

UNESCO Yaipa Shule ya Sekondari MWEDO Vitabu vya Sayansi

Posted on: August 11, 2014 - jomushi
Post Tags: UNESCO Yaipa Shule ya Sekondari MWEDO Vitabu
UNESCO Yaipa Shule ya Sekondari MWEDO Vitabu vya Sayansi

  Na Mwandishi Wetu, Arumeru Wanafunzi wa shule ya Mwedo sekondari iliyopo wilayani Arumeru wamelishukuru Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kupitia Read International…

Continue Reading....

Rais Kikwete Aeleza Siri ya Utulivu na Amani Tanzania

Posted on: August 11, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Siri ya Utulivu na Amani Tanzania
Rais Kikwete Aeleza Siri ya Utulivu na Amani Tanzania

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Tanzania imeendelea kuwa nchi tulivu, yenye umoja na amani kwa sababu ya sera…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari