SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali la WWF, limeendesha mafunzo kwa wafanyakazi wa idara mbalimbali za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) kuhusiana na ueneaji wa hewa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Maabara ya Mkemia Mkuu Yabaini kg 6,428 za ‘Unga’
Na Fatma Salum MAELEZO WAKALA wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imefanikiwa kubaini jumla ya kilogram 6,428.12 za sampuli mbalimbali za dawa za kulevya…
Continue Reading....Mtoto wa Chekechea na Kaka Yake Walawitiwa
*Mlezi wao bibi miaka 80 aomba asaidiwe kisheria Na Yohane Gervas, Rombo WATOTO wawili wa Kijiji cha Aleni Chini, Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, mmoja…
Continue Reading....Kikwete Ashiriki Kujadili Hatari na Athari za Ugaidi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Septemba 2, 2014, ameungana na viongozi wengine wa Afrika na wajumbe kutoka nchi mbalimbali duniani kuhudhuria…
Continue Reading....Mahakama Yamfunga Jela Mwizi wa Nyaya za TTCL
Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Salaam imemuhukumu kwenda jela miaka minne, Shaibu Muhidin Ndina baada ya kupatikana na…
Continue Reading....JK Awasili Kenya kwa Mkutano Maalum
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewasili Nairobi, Kenya, usiku wa Septemba Mosi, 2014, tayari kwa kuhudhuria Mkutano Maalum wa Wakuu wa…
Continue Reading....