Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 409

Category: Habari za Nyumbani

Baraza la Mawaziri EAC Kuidhinisha Hati Mpya za Kusafiri

Posted on: September 17, 2014September 17, 2014 - jomushi
Post Tags: EAC
Baraza la Mawaziri EAC Kuidhinisha Hati Mpya za Kusafiri

Frank Mvungi- Maelezo MKUTANO wa 29 wa Baraza la Mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Masharikiunatarajia kupokea na kuidhinisha aina mpya ya hati…

Continue Reading....

Rais Kikwete Kuhutubia Baraza Kuu la UN

Posted on: September 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Baraza Kuu la UN, JK Kuhutubia
Rais Kikwete Kuhutubia Baraza Kuu la UN

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameondoka nchini usiku wa Septemba 15, 2014, kuanza ziara ya wiki mbili katika Marekani ambapo atahutubia…

Continue Reading....

TBS Kuajiri Watumishi 200 Kuimarisha Utendaji

Posted on: September 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Kuajiri, TBS, Watumishi 200
TBS Kuajiri Watumishi 200 Kuimarisha Utendaji

Frank Mvungi-Maelezo SHIRIKA la Viwango Nchini Tanzania (TBS) linatarajia kuajiri jumla ya watumishi 200 katika harakati za kuimarisha utendaji wa shirika hilo. Hayo yamesemwa na…

Continue Reading....

Mjadala wa Kulisitisha Bunge Umefungwa – Dk. Migiro

Posted on: September 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Bunge, Dk. Migiro, Mjadala Kusitisha
Mjadala wa Kulisitisha Bunge Umefungwa – Dk. Migiro

  Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma   HOJA ya kusitisha Bunge Maalum la Katiba imehitimishwa rasmi Kisheria kwa Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Continue Reading....

TUSEME Yawafunda Watumishi Sekondari ya WAMA, Nakayama

Posted on: September 16, 2014 - jomushi
TUSEME Yawafunda Watumishi Sekondari ya WAMA, Nakayama

Na Eleuteri Mangi – MAELEZO WALEZI wametakiwa kuwaelimisha, kuwalinda, kuwaandaa na kuwajali watoto wa kike namna ya kupambana na changamoto mbalimbali za kijinsia zinazowakumba watoto…

Continue Reading....

Yambeshi Awataka Watumishi wa Umma Mwanza Kuzingatia Sheria

Posted on: September 16, 2014 - jomushi
Post Tags: sheria, Watumishi wa umma, Yambesi
Yambeshi Awataka Watumishi wa Umma Mwanza Kuzingatia Sheria

Na Atley Kuni – Ofisa Habari Mwanza   KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi George Yambeshi, amewataka watumishi wa Umma wa Sekretarieti ya Mkoa wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari