WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema mchakato wa Bunge la Katiba unaoendelea hivi sasa ni halali na kwamba mchakato huo ni wa kisheria. Ametoa kauli hiyo…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Serikali Haiwezi Kutaifisha Shule, Hospitali na Vyuo vya Dini
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali haitataifisha shule, zahanati, hospitali wala Vyuo Vikuu vinavyoendeshwa na taasisi za kidini na amewahimiza wajenge zaidi na zaidi…
Continue Reading....Elimu ya awali yaendeshwa bila vitabu Tunduru
Na Joachim Mushi, Tunduru SHULE nyingi za msingi zenye madarasa ya awali Wilayani Tunduru zimekuwa zikiendeshwa kwa changamoto mbalimbali ikiwemo ya kutokuwa na vitabu vya…
Continue Reading....Bara la Afrika Linaweza Kuondoa Umaskini – Rais Kikwete
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa…
Continue Reading....EAC Yatoa Changamoto kwa Waandishi Habari
Na Mtuwa Salira, EANA, Arusha KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Richard Sezibera ametoa wito kwa waandishi wa habari katika kanda hiyo…
Continue Reading....