Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 382

Category: Habari za Nyumbani

Serikali Kupunguza Maambukizi ya Ukimwi Hadi Sifuri

Posted on: November 13, 2014 - jomushi
Post Tags: Maambukizi, serikali, Ukimwi
Serikali Kupunguza Maambukizi ya Ukimwi Hadi Sifuri

Na Genofeva Matemu – Maelezo SERIKALI imepanga mikakati na kusimamia juhudi zinazofanywa na kuendelezwa na wadau wa ukimwi kuhakikisha kuwa maambukizi mapya ya virusi vya…

Continue Reading....

Wamiliki wa Blogu Tanzania Wateua Kamati ya Muda Kuongoza…!

Posted on: November 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Blogu, Kamati, tanzania, Wamiliki
Wamiliki wa Blogu Tanzania Wateua Kamati ya Muda Kuongoza…!

WAMILIKI wa Mitandao ya Kijamii Tanzania wameteua viongozi wa muda ambao watafanya kazi ya kushughulikia usajili wa Chama cha Wamiliki wa Mitandao ya kijamii (Bloggers)…

Continue Reading....

JK Aanza ‘Kuwasiliana’ na Watanzania kwa Sms

Posted on: November 11, 2014November 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Jakaya
JK Aanza ‘Kuwasiliana’ na Watanzania kwa Sms

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Novemba 10, 2014, ameanza kuwasiliana na mamia kwa mamia ya wananchi mbali mbali nchini kujibu…

Continue Reading....

Kabila la Wahdazabe Kulindwa na Serikali…!

Posted on: November 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Mizengo Pinda, serikali, Wahdazabe
Kabila la Wahdazabe Kulindwa na Serikali…!

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali itaendelea kuyalinda makabila madogo nchini yakiwemo ya Wahdazabe na Wasandawe ambayo yanategemea rasilmali misitu kwa maisha yao na…

Continue Reading....

Tanzania Inahitaji Kuendeleza Mipango Miji -Pinda

Posted on: November 11, 2014 - jomushi
Post Tags: mipango miji
Tanzania Inahitaji Kuendeleza Mipango Miji -Pinda

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Tanzania kama nchi inapaswa kuwa na mpango wa kuendeleza mipango miji (master plan) wa nchi nzima unaozingatia ukuaji wa miji…

Continue Reading....

NSSF Walibeba Tamasha la Handeni Kwetu 2014

Posted on: November 11, 2014 - jomushi
Post Tags: NSSF
NSSF Walibeba Tamasha la Handeni Kwetu 2014

NA MWANDISHI WETU, HANDENI SHIRIKA la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Tanzania, limejitokeza tena kudhamini Tamasha kubwa la Utamaduni linalojulikana kama ‘Handeni Kwetu’, lililopangwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari