MAHAKAMA ya mwanzo Mengwe wilayani Rombo imemhukumu mkazi wa Rombo, Godfrey Kimaryo(32) kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Samsung, UNESCO Kujenga Kijiji cha Digitali Loliondo
Mwakilishi mkazi shirika la UNESCO nchini Bi. Zulmira Rodrigues na Mkurugenzi wa Samsung Electronics nchini Tanzania, Bw. Mike Seo wakibadilishana nyaraka za makubaliano hayo yaliyofanyika…
Continue Reading....Wahimizwa Kujitokeza Kupima Ugonjwa wa Kisukari
Na Beatrice Lyimo – Maelezo SERIKALI imetoa wito kwa kila mwananchi nchini kuhakikisha kwamba anapima afya yake mara kwa mara kwa kuwa ugonjwa wa kisukari unaweza…
Continue Reading....Ubunifu wa BRN Wavutia Wawekezaji Sekta Binafsi
Na Mwandishi Wetu MKUTANO wa kwanza wa aina yake ulioandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) umefanikiwa kuwakutanisha mahali pamoja wawekezaji wakubwa kutoka mataifa…
Continue Reading....Rais Kikwete Kuhamishiwa Hoteli Maalum kwa Uangalizi wa Madaktari
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anaendelea na matitabu yake nchini Marekani, Novemba 12, 2014, anatarajiwa kutoka wodini katika Hospitali…
Continue Reading....Friends Rangers Kuivaa Majimaji ya Songea Dar
Mwandishi Wetu KIKOSI cha timu ya Friends Rangers, kesho kinajitupa kwenye Uwanja wa Karume kuvaa na timu ya Majimaji ya Songea, katika mchezo wa Ligi…
Continue Reading....