Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 383

Category: Habari za Nyumbani

Jitihada za Serikali Katika Kupambana na Madawa ya Kulevya

Posted on: November 10, 2014 - jomushi
Post Tags: Madawa ya kulevya
Jitihada za Serikali Katika Kupambana na Madawa ya Kulevya

Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM. TATIZO LA MADAWA YA KULEVYA bado limekuwa likiendelea kuwepo katika maeneo mengi nchini kwa kipindi cha mwezi Oktoba licha ya kuwepo…

Continue Reading....

Rais Kikwete Aendelea Vyema Hospitali

Posted on: November 10, 2014 - jomushi
Post Tags: Jakaya
Rais Kikwete Aendelea Vyema Hospitali

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katika hospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchini…

Continue Reading....

Pinda Ataka Vita Dhidi ya Majangili Iwe ya Pamoja

Posted on: November 10, 2014 - jomushi
Pinda Ataka Vita Dhidi ya Majangili Iwe ya Pamoja

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Aggrey Mwanri mara  baada ya kuwasili kwenye makao makuu ya jumuiya…

Continue Reading....

Multiple Myeloma Muuaji wa Kimyakimya Tanzania

Posted on: November 10, 2014 - jomushi
Post Tags: Magonjwa ya kansa
Multiple Myeloma Muuaji wa Kimyakimya Tanzania

KILA MWAKA kesi mpya zinazohusiana na ugonjwa wa saratani huripotiwa kuwa chanzo kikuu cha vifo vingi nchini Tanzania. Wataalamu wanatabiri hatua madhubuti zisipochukuliwa mapema kukabiliana…

Continue Reading....

Harusi ya Mtanzania na Mkenya Yawa Mfano Misri!

Posted on: November 9, 2014November 10, 2014 - kizungumkuti
Harusi ya Mtanzania na Mkenya Yawa Mfano Misri!

        Jana (8/11/2014) Ndg. Ramadhan Abdullahi (Mkenya) na Bi. Mariam Masalu (Mtanzania) walifanya sherehe kubwa ya harusi yao jijini Kairo, Misri tokea walipofunga ndoa miezi michache iliyopita.…

Continue Reading....

Rais Kikwete Afanyiwa Upasuaji Marekani…!

Posted on: November 9, 2014 - jomushi
Post Tags: Marekani, Rais Kikwete, Upasuaji
Rais Kikwete Afanyiwa Upasuaji Marekani…!

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Novemba 8, 2014, alifanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari