Na Mtua Salira EANA Arusha MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) yenye makao yake Makuu Mjini Arusha, Tanzania imeanza kusikiliza kesi…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Baraza la Mawaziri Lilinikataza Kutaja Ugonjwa – Rais Kikwete
Na Mwandishi Wetu, RAIS Jakaya Kikwete amewasili salama nchini Tanzania leo akitokea nchini Marekani alipokuwa kwa matibabu ambapo alifanyiwa upasuaji kutibiwa saratani ya tezi dume…
Continue Reading....Helikopta Yaanguka Dar na Kuua Wanne
HELIKOPTA iliyokuwa na watu wanne imeanguka eneo la Moshi Bar jirani na Sukuma Land Bar Ukonga na kuua abiria wote. Taarifa za awali zinasema Helikopta…
Continue Reading....Waziri wa Nishati na Madini ‘Avunja’ Kikao cha Bunge
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesababisha kuvunjika kwa kikao cha Bunge kilichokuwa kikiendelea usiku huu mjini Dodoma baada ya azimio la kumuwajibisha…
Continue Reading....Rais Kikwete Kurejea Dar Kesho
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete anatarajia kurejea nchini Tanzania kesho majira ya mchana, Novemba 29, 2014 kutoka kwenye matibabu nchini…
Continue Reading....Growing Demand for Real Estate Fueling Tanzanian Economy: Report
Growing Demand for Real Estate Fueling Tanzanian Economy: Report *Leading property portal releases new research on real estate in Tanzania LEADING property website Lamudi today…
Continue Reading....