Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 374

Category: Habari za Nyumbani

Tido Mhando Sasa Bosi wa Azam TV

Posted on: December 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Azam TV, Tido Mhando, Uhai Production
Tido Mhando Sasa Bosi wa Azam TV

KAMPUNI ya Azam Media Limited, leo imetangaza kuwa Tido Mhando ameteuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Uhai Production Ltd.(UPL). Tido, anaungana na Rhys Torrington ambaye ni…

Continue Reading....

TGNP Kufanya Mjadala wa Wazi Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili

Posted on: December 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Kupinga Ukatili, Maadhimisho ya Siku 16, TGNP
TGNP Kufanya Mjadala wa Wazi Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili

TGNP Mtandao ni asasi ya kiraia isiyokuwa na mrengo wa kidini iliyoanzishwa na kusajiliwa zaidi ya miaka 20 iliyopita ikijihusisha na mapambano ya kuleta usawa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Amteuwa CAG Mpya Kumrithi Utouh…!

Posted on: December 1, 2014 - jomushi
Post Tags: CAG Mpya, Prof. Mussa Assad, Rais Kikwete
Rais Kikwete Amteuwa CAG Mpya Kumrithi Utouh…!

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kushika…

Continue Reading....

Shule za Montesory Ilala Zasaidiwa

Posted on: November 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Ilala, Shule ya Montesory
Shule za Montesory Ilala Zasaidiwa

Na Mwandishi Wetu SHULE za Montesory na Ulongoni B zilizopo wilaya ya Ilala zimepewa kwa nyakati tofauti misaada ya tani moja ya Saruji sambamba na…

Continue Reading....

Dk Bilal Aiwakilisha Tanzania Mkutano wa Wakuu EAC

Posted on: November 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Dk Bilal, Mkutano wa EAC, tanzania
Dk Bilal Aiwakilisha Tanzania Mkutano wa Wakuu EAC

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal jana Novemba 29, 2014 aliiwakilisha Tanzania katika mkutano wa siku moja wa…

Continue Reading....

Mapokezi ya Rais Kikwete Alipowasili Kutoka Marekani

Posted on: November 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Mapokezi, Marekani, Rais Kikwete
Mapokezi ya Rais Kikwete Alipowasili Kutoka Marekani

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa abiria wakati ndege aliyopanda ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari