Na Anna Nkinda – Lindi MKE wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka wakazi wa Kata ya Ng’apa Wilaya ya Lindi mjini kuchagua viongozi waadilifu na…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Chawataka Viongozi Kupitia Kozi ya Maadili
Mkuuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Profesa, Shadrack Mwakalila. Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea. CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere…
Continue Reading....Mapambano ya Ukatili Yanaitaji Nguvu za Pamoja – Tume ya Haki za Binadamu
VITA dhidi ya mapambano ya vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini Tanzania havina budi kuungwa mkono na makundi yote kutokana na umuhimu wake. Hali hii…
Continue Reading....Mfungwa Tanzania Afungua Kesi Mahakama ya Afrika
Na Mtua Salira, EANA MTANZANIA anayetumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha, Alex Thomas amepeleka…
Continue Reading....Wanachuo St. Joseph Waenda kwa Pinda Kudai Mgao wa Escrow
BAADHI ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Yosef (St. Joseph University In Tanzania-SJUIT, Dar) wameibuka katika maandamano ya kushtukiza na kwenda hadi Ofisi ya…
Continue Reading....Filamu Zenye Tafsiri ya Kiingereza Kibovu Zinatudhalilisha
Mimi napenda uigizaji; uwe katika filamu, vichekesho, maigizo n.k. kama vimetengenezwa katika kiwango kinachoridhisha huwa napenda kuangalia bila kujali igizo hilo limetengenezwa na…
Continue Reading....