Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 372

Category: Habari za Nyumbani

Waziri Kombani Aipongeza Seed Trust Kuwapigania Walemavu

Posted on: December 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Kongamano Kujadili, Selina Kombani, Ukatili kwa Walemavu
Waziri Kombani Aipongeza Seed Trust Kuwapigania Walemavu

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Selina Kombani ameipongeza taasisi ya Seed Trust kwa jitihada zake za kupiga vita vitendo…

Continue Reading....

Msiwapigie Kura Vyama vya Upinzani – Mama Salma Kikwete

Posted on: December 6, 2014 - jomushi
Post Tags: Kura, Salma Kikwete, Vyama vya Upinzani
Msiwapigie Kura Vyama vya Upinzani – Mama Salma Kikwete

Na Anna Nkinda – Lindi WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Lindi mjini wametakiwa kutokubali kurubuniwa kwa kitu chochote kile ili wawapigie kura…

Continue Reading....

Mabingwa wa Utengenezaji Keki Wapatikana Dar

Posted on: December 6, 2014 - jomushi
Post Tags: Mabingwa, Utengenezaji Keki, World of Cakes Exhibition
Mabingwa wa Utengenezaji Keki Wapatikana Dar

JOPO la Majaji watatu na mabingwa wa fani za mapishi leo wamewatangaza mabingwa wa utengenezaji keki waliojitokeza katika Maonesho ya bidhaa za keki ‘Azam World…

Continue Reading....

Kamati ya Muda Bloggers Tanzania Yakutana Kujadili Rasimu

Posted on: December 5, 2014 - jomushi
Post Tags: Kamati ya Bloggers Tanzania, Kujadili Rasimu

    Katibu Msaidizi wa Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania , Shamim Mwasha (kushoto),akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo wakati wa mapitio ya rasimu hiyo.…

Continue Reading....

Siri ya Ushindi Vita Dhidi ya Ukimwi Katika Mlipuko wa Ebola Yatajwa

Posted on: December 5, 2014 - jomushi
Post Tags: Mlipuko wa Ebola, Ushindi Vita ya Ukimwi
Siri ya Ushindi Vita Dhidi ya Ukimwi Katika Mlipuko wa Ebola Yatajwa

TAREHE 1 Desemba kila mwaka watu wote duniani huazimisha Siku ya Ukimwi Duniani, siku ambayo ilianzishwa mnamo mwaka 1987 na ambayo hubeba maudhui mbali mbali…

Continue Reading....

Arusha Yachaguliwa Kujiunga Mtandao wa Miji 100 ya Kustawi Kiuchumi

Posted on: December 5, 2014 - jomushi
Post Tags: Arusha, Kustawi Kiuchumi, Mtandao Miji 100
Arusha Yachaguliwa Kujiunga Mtandao wa Miji 100 ya Kustawi Kiuchumi

  MJI wa Arusha umechaguliwa pamoja na miji mingine 32 kujiunga na mtandao wa miji 100 ya kustawi kiuchumi. Tangazo hilo limetolewa wakati wa Mkutano wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari