Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 376

Category: Habari za Nyumbani

Walijua Shimo la Mungu na Sifa Zake Newala…!

Posted on: November 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Mtwara, Shimo la Mungu, Wilayani Newala
Walijua Shimo la Mungu na Sifa Zake Newala…!

UKIFIKA Wilaya ya Newala Mkoa wa Mtwara jitahidi utembelee eneo maarufu linalojulikana kama shimo la Mungu. Ni shimo kubwa la kuvutia huku likiwa linatisha pia…

Continue Reading....

Kashfa ya Escrow Yawagawa Wabunge Dodoma…!

Posted on: November 27, 2014November 27, 2014 - jomushi
Post Tags: Escrow, Wabunge Dodoma, Yawagawa
Kashfa ya Escrow Yawagawa Wabunge Dodoma…!

TUHUMA za uchotwaji wa fedha kiasi cha bilioni 306 zinazodaiwa kuwa za Serikali katika akaunti ya Tegeta Escrow imewagawa wabunge katika mjadala unaoendelea bungeni wa…

Continue Reading....

Takwimu Kuendelea Kuwapatia Taarifa Sahihi Wananchi

Posted on: November 27, 2014 - jomushi
Post Tags: Taarifa Sahihi, Takwimu, wananchi
Takwimu Kuendelea Kuwapatia Taarifa Sahihi Wananchi

Na Aron Msigwa – MAELEZO SERIKALI kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa itaendelea kuwapatia wananchi takwimu sahihi zinazohusu sekta mbalimbali ili kuwajengea uwezo…

Continue Reading....

JK Atoa Pole Vifo vya Abiria 11 Ajalini Tanga

Posted on: November 27, 2014 - jomushi
Post Tags: Rais Jakaya, tanga, Vifo Ajalini
JK Atoa Pole Vifo vya Abiria 11 Ajalini Tanga

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Rajabu Rutengwe kuomboleza vifo vya…

Continue Reading....

Nyerere “I Told You so Moment”

Posted on: November 27, 2014November 27, 2014 - admin
Post Tags: Nyerere
Nyerere “I Told You so Moment”

Naomba tujikumbushe ahadi za mwana TANU. Just think of their relevance to today’s circumstances. Ignore whether it is Tanganyika, Binadamu wote ni ndugu zangu na…

Continue Reading....

Serikali Yaanza Kujibu ‘Escrow’ Bungeni, Yadai PAC Imedanganya…!

Posted on: November 27, 2014 - jomushi
Post Tags: Bungeni, Escrow, Kamati ya PAC, serikali
Serikali Yaanza Kujibu ‘Escrow’ Bungeni, Yadai PAC Imedanganya…!

SERIKALI imeanza kujibu hoja za tuhuma za uwepo wa uchotwaji wa fedha kwenye akaunti ya Tegeta Escrow takribani sh. bilioni 306 zinazodaiwa kuchotwa na watu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari