CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania. Kufunga Kampeni CCM itafunga kampeni zake kwa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Serikali Yafafanua Ukomo wa Madaraka ya Rais na Mawaziri
SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu ukomo wa madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwisho wa uhai wa Baraza la Mawaziri kwa kadri…
Continue Reading....JK Azinduwa Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti IP POP
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akimkabidhi zawadi Dk. Bilal mara baada ya kufanya uzinduzi wa Kituo cha…
Continue Reading....Mama Samia Suluhu Ahaidi Neema kwa Walemavu Akishinda
Mgombea Mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan (kushoto), akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania…
Continue Reading....Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Wakutana na Mwenyekiti wa NEC.
Tume ya Uchaguzi ya Taifa nchini NEC imewataka waangalilizi wa uchaguzi kufanya kazi kwa kuzingatia sheria ya waangalizi wa uchaguzi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika…
Continue Reading....Dk. Emmanuel Makaidi Kuzikwa Makaburi ya Sinza
Mjane wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Emmanuel Makaidi, Modesta Ponela Makaidi akiwa katika huzuni baada ya kuondokewa na…
Continue Reading....