Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 411

Category: Trending

Lazima Mmoja Atoke Arsenal,Olympiakos .

Posted on: December 9, 2015December 9, 2015 - Yohana Chance
Lazima Mmoja Atoke Arsenal,Olympiakos .

Mechi za makundi za UEFA zitaendelea tena Leo leo kwa michezo mbalimbali ,na miongoni mwa mechi zitakazovutia wengi ni ile ya Arsenal ambapo itawapasa Washika…

Continue Reading....

Mashindano ya Baiskeli ya Rift Valley Odyssey Yafanyika

Posted on: December 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Mashindano
Mashindano ya Baiskeli ya Rift Valley Odyssey Yafanyika

Washindi wa kwanza wa mashindano.ya baiskeli, ya  Rift Valley Odyssey  ya liyofanyika  jijini arusha  DEC 6 Mwaka huu Sophia Husseni wa kwanza (kulia) na Sophia Adson wa (pili)…

Continue Reading....

UNFPA Yakutanisha Wadau wa Kupinga Ukatili na ‘Amani Nyumbani Forum’

Posted on: December 8, 2015 - jomushi
Post Tags: UNFPA Dar
UNFPA Yakutanisha Wadau wa Kupinga Ukatili na ‘Amani Nyumbani Forum’

Continue Reading....

Mratibu wa UN Tanzania Avutiwa na Mradi wa Vijana Kigoma

Posted on: December 8, 2015 - jomushi
Post Tags: UN
Mratibu wa UN Tanzania Avutiwa na Mradi wa Vijana Kigoma

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali mstaafu Issa Machibya akiongozana na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo…

Continue Reading....

Moto wa Rais Dk Magufuli ‘Wateketeza’ Vigogo Bandarini

Posted on: December 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Mamlaka ya Bandari
Moto wa Rais Dk Magufuli ‘Wateketeza’ Vigogo Bandarini

Na Raymond Mushumbusi- Maelezo MOTO wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli umeendelea kuwachoma vigogo na sasa umewaangukia vigogo…

Continue Reading....

TTCL Yaibuka Kidedea Tuzo za Ukaguzi Taarifa ya Fedha za NBAA

Posted on: December 8, 2015December 15, 2015 - jomushi
Post Tags: TTCL
TTCL Yaibuka Kidedea Tuzo za Ukaguzi Taarifa ya Fedha za NBAA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) akimkabidhi tuzo Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Godlove…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari