Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 397

Category: Trending

Arsenal Yaisambaratisha Manchester City mabao 2

Posted on: December 22, 2015 - Yohana Chance
Arsenal Yaisambaratisha Manchester City mabao 2

Timu ya soka ya Arsenal usiku wa kuamkia le imeifunga Manchestaer City mabao 2-1 na kuendelea kujiimarisha katika msimamo wa ligi kuu ya England Mabao…

Continue Reading....

Top 10 Raba za Ukweli za Mwaka 2015

Posted on: December 22, 2015 - admin
Top 10 Raba za Ukweli za Mwaka 2015

Kuna raba nzuri zimetoka mwaka 2015, zifuatazo ni raba ambazo zimeingia katika top 10 10. Concepts X New Balance 997 ‘Luxury Goods’ 9. Chuck Taylor…

Continue Reading....

Rais Magufuli Ateta na Maalim Seif Hamad, Amuakikishia Amani Zanzibar

Posted on: December 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Zanzibar
Rais Magufuli Ateta na Maalim Seif Hamad, Amuakikishia Amani Zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad pamoja na Rais Dk. John…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Majaliwa Aonya Mahindi Kutengeneza Pombe

Posted on: December 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Majaliwa Aonya Mahindi Kutengeneza Pombe

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku chakula cha msaada kutumiwa kutengeneza pombe za kienyeji na kwamba atakayekamatwa atachukuliwa hatua za kinidhamu. Ametoa kauli hiyo wakati…

Continue Reading....

Simba Yamzawadia Hussein Tshabalala ni Baada ya Kushinda..!

Posted on: December 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Club ya Simba
Simba Yamzawadia Hussein Tshabalala ni Baada ya Kushinda..!

IKIWA ni hali ya kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.…

Continue Reading....

Mambo 14 usiyoyajua kuhusu Raisi John Pombe Magufuli.

Posted on: December 21, 2015 - admin
Post Tags: John Pombe Magufuli, Raisi wa Tanzania
Mambo 14 usiyoyajua kuhusu Raisi John Pombe Magufuli.

Kwa watu wengi Tanzania na hata Afrika kwa ujumla, raisi John Magufuli ni zawadi kwa Watanzania na wa-Afrika kwa ujumla. Watu wengi bado hatufahamu vizuri…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari