Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 392

Category: Trending

Prof Mbarawa, Naibu Wake Watembelea Bandarini Dar…!

Posted on: December 29, 2015December 30, 2015 - jomushi
Post Tags: Mamlaka ya Bandari
Prof Mbarawa, Naibu Wake Watembelea Bandarini Dar…!

Continue Reading....

Waziri Mkuu Majaliwa Ateta na Wakimbizi, Azungumzia Ngono Zembe

Posted on: December 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Wakimbizi
Waziri Mkuu Majaliwa Ateta na Wakimbizi, Azungumzia Ngono Zembe

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaasa raia wanaokimbia nchi zao na kupata hifadhi Tanzania kutobeba silaha wanapoingia nchini kuja kuishi kwenye kambi za wakimbizi. Ametoa onyo…

Continue Reading....

Ligi Kuu Zanzibar: KMKM na Mafunzo Yaenda Suluhu

Posted on: December 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Ligi Kuu Zanzibar
Ligi Kuu Zanzibar: KMKM na Mafunzo Yaenda Suluhu

 Mshambuliaji wa timu ya Mafunzo akijiandaa kupiga mpira huku beki wa timu ya KMKM akiwa tayari kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya…

Continue Reading....

Mawakala Tigo Pesa Zanzibar Wapewa Elimu

Posted on: December 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Tigo Pesa
Mawakala Tigo Pesa Zanzibar Wapewa Elimu

Mkurugenzi  wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na mawakala wa Tigo Pesa walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi ya  kuendesha…

Continue Reading....

Tanroads: Tunaijenga Barabara ya Kamanga Ferry kwa Lami

Posted on: December 29, 2015 - jomushi
Post Tags: barabara
Tanroads: Tunaijenga Barabara ya Kamanga Ferry kwa Lami

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO WAKALA wa Barabara nchini Tanzania (TANROADS) imesema inaendelea na ujenzi wa Barabara itokayo Kamanga Ferry kuelekea Sengerema kwa kiwango cha lami…

Continue Reading....

Arsenal Yajikita Kileleni, Man United Chelsea Ngoma Droo

Posted on: December 29, 2015 - Yohana Chance
Arsenal Yajikita Kileleni, Man United Chelsea Ngoma Droo

Klabu ya Arsenal wamefanikiwa kukaa kileleni mwa ligi ya England kwa pointi 39 baada ya kuichapa Bournemouth kwa mabao 2-0 na kiuacha Leicester City Nyuma…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari