Liverpool wakiwa ugenini katika dimba la light wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Sunderland na kulweka matumaini ya kumaliza ligi katika nafasi nzuri za…
Continue Reading....Category: Trending
Waziri Nape Ampongeza Samatta, Ahaidi Neema Bongo Movie
Mchezaji wa TP Mazembe Mbwana Samatta(wa kwanza kushoto)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) sababu za yeye kumtembelea Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika ofisi ya…
Continue Reading....TCRA Yazilima Faini Tigo, Airtel, Halotel na Zantel
MAMLAKA ya Mawasilaino nchini Tanzania (TCRA) imezipiga faini pamoja na kutoa onyo kali kwa makampuni ya simu za mikononi za: Benson Informatics Limited (inayojulikana kama…
Continue Reading....Kesi ya ‘Akinamasamaki wa TRA’ Kuunguruma Januari 13
Na Nyakongo Manyama-Maelezo KESI inayowakabili wafanyakazi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inatarajiwa kusikilizwa tena January 13, 2016. Akizungumza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu…
Continue Reading....Cheryshev Aiponza Real Madrid Copa del Rey
Real Madrid wamepoteza rufaa yao dhidi ya uamuzi wa shirikisho la soka la Uhispania wa kuwaondoa michuano ya Copa del Rey kwa kumchezesha mchezaji asiyefaa.…
Continue Reading....Refarii Aliyezushiwa Kuwa Shoga Kulipwa Mamilioni
Mwamuzi mmoja wa mpira wa miguu nchini Uturuki aliyefutwa kazi kwa tuhuma kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja, ameshinda kesi dhidi ya shirikisho la soka…
Continue Reading....