Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 367

Category: Trending

Liverpool Yatinga Fainali Kombe La Capital One

Posted on: January 27, 2016 - Yohana Chance
Liverpool Yatinga Fainali Kombe La Capital One

Timu ya Liverpool Wakicheza katika uwanja wao wa Anfield imeshinda mchezo wa nusu fainali ya pili ya kombe la Capital na dhidi ya Stoke na…

Continue Reading....

Rihhana Aiachia Albamu yake Mpya ya Nane ya ANTI

Posted on: January 27, 2016 - Yohana Chance
Rihhana Aiachia Albamu yake Mpya ya Nane ya ANTI

Baada ya miaka minne tangu nyota wa muziki Rihhana atangaze kwamba anaandaa albamu yake mpya. Hata hivyo harakati hizo zilikabiliwa na changomoto chungu nzima na…

Continue Reading....

TTCL Yaendelea Kutambulisha 4G-LTE kwa Wateja

Posted on: January 27, 2016January 29, 2016 - jomushi
TTCL Yaendelea Kutambulisha 4G-LTE kwa Wateja

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imeendelea na harakati zake za kimasoko kutambulisha intaneti yake yenye kasi na bora zaidi ya 4G-LTE kwa wateja wa jiji…

Continue Reading....

Eritrea Imetoa Sheria Mpya: Oa Wake Wawili au Nenda Jela.

Posted on: January 26, 2016January 26, 2016 - admin
Eritrea Imetoa Sheria Mpya: Oa Wake Wawili au Nenda Jela.

Wanaume nchini Eritrea, wameagizwa na serikali kuoa mke zaidi ya mmoja, la sivyo unajiweka kwenye hatari ya kwenda jela. Serikali pia imeahidi kusaidia gharama za…

Continue Reading....

Vyama vya Siasa Vyaaswa Kushiriki Uchaguzi Zanzibar

Posted on: January 26, 2016 - jomushi
Vyama vya Siasa Vyaaswa Kushiriki Uchaguzi Zanzibar

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Mhe.Jaji Francis Mutungi ameviasa Vyama vya Siasa kushiriki chaguzi zinazotangazwa na tume za uchaguzi nchini ikiwemo uchaguzi wa Machi…

Continue Reading....

Chama cha waendesha Bodaboda Jijini Arusha Chaiomba Serikali Kuondoa Utata

Posted on: January 26, 2016 - jomushi
Chama cha waendesha Bodaboda Jijini Arusha Chaiomba Serikali Kuondoa Utata

  Na Vero Ignatus , Arusha. Chama cha waendesha bodaboda Jijini Arusha ( UWAPA) chaiomba serikali kutatatua utata uliopo kati ya waendesha bodaboda na waendesha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari