Man City imekua timu ya pili kufuzu fainali ya mchezo wa kombe la Capital baada ya kuichapa Everton kwa mabao 3-1. Everton ndio walikua wa…
Continue Reading....Category: Trending
Jovago Kuwapeleka WanaValentine Ramada Hotel
KAMPUNI ya Jovago Tanzania ambayo ni wadau wakubwa wa sekta ya utalii nchini Tanzania imeahidi kuwapeleka wapendanao (Wana Valentine) kupumzika kwa siku moja kwenye Hoteli…
Continue Reading....Mitandao ya Kijamii Yamzushia Rais Magufuli, Ni Kuhusu Safari ya Kenya
KUMEKUWEPO na habari za uongo na potofu katika mtandao wa jamii wa www.kenya-today.com kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli…
Continue Reading....Serikali yasisitiza Ushirikisho wa Michezo Kuzingatia Utaratibu Kuzuia Migogoro
Serikali imetoa wito kwa Vyama,Vilabu na Mashirikisho ya mpira wa miguu kuzingatia na kufuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa katiba zao ili kupunguza migogoro inayoweza…
Continue Reading....Kamanda Sabas Akanusha Maandamano ya Madereva Bodaboda Arusha
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha SACP Liberatus Sabas amekanusha habari iliyoandikwa na gazeti la Jambo Leo la Januari 27, 2016 lenye kichwa cha habari…
Continue Reading....UNESCO Yafanya Kongamano Kujadili Mpango wa Maendeleo Sekta ya Elimu (ESDP)
Mkurugenzi wa Elimu ya Watu Wazima na Elimu iliyo nje ya Mfumo rasmi kutoka Wizara ya Elimu, Salum Mnjagila, kwa niaba ya Kamishna wa Elimu,…
Continue Reading....