Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 279

Category: Trending

Rais Dk Magufuli Amtumbua Hadharani Mkurugenzi wa Jiji Dar

Posted on: April 19, 2016 - jomushi
Post Tags: Rais Dk Magufuli
Rais Dk Magufuli Amtumbua Hadharani Mkurugenzi wa Jiji Dar

Na Mwandishi Wetu, Dar RAIS wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi hadharani Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Bw. Wilson Kabwe kwa…

Continue Reading....

Spurs Yashinda Nne Mtungi, Leicester City Wahaha

Posted on: April 19, 2016 - Yohana Chance
Spurs Yashinda Nne Mtungi, Leicester City Wahaha

Klabu ya soka ya Tottenham wakicheza ugenini katika dimba la Brittania wameibuka na ushindi wa kishindo wa mabao 4-0 dhidi ya Stoke City. Mshambuliaji mahiri…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Kuzinduwa Rasmi Daraja la Kigamboni

Posted on: April 18, 2016 - jomushi
Post Tags: Daraja KIgamboni
Rais Dk Magufuli Kuzinduwa Rasmi Daraja la Kigamboni

WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kutaarifu Umma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli, anatarajiwa kuwa mgeni…

Continue Reading....

Hamphrey Polepole Apewa U-DC Musoma…!

Posted on: April 18, 2016 - jomushi
Post Tags: DC
Hamphrey Polepole Apewa U-DC Musoma…!

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteuwa Bw. Hamphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es…

Continue Reading....

Rais Magufuli Avamia Benki ya CRDB Tawi la Holland Dar

Posted on: April 18, 2016 - jomushi
Post Tags: Rais Magufuli
Rais Magufuli Avamia Benki ya CRDB Tawi la Holland Dar

RAIS John Magufuli amezua mjadala baada ya kuvamia tawi la CRDB (Holland Branch), akiwa kwenye gari namba T 182 DFQ huku likiwa halina nembo ya…

Continue Reading....

Benki ya NMB Yaajiri Wahitimu wa Vyuo 30, Baada ya Mchujo…!

Posted on: April 18, 2016 - jomushi
Post Tags: Benki ya NMB Plc
Benki ya NMB Yaajiri Wahitimu wa Vyuo 30, Baada ya Mchujo…!

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari