Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 280

Category: Trending

Wahamiaji 400 Wazama Baharini, Korea Kaskazini Kupiga Nyuklia

Posted on: April 18, 2016 - jomushi
Post Tags: Wahamiaji Haramu
Wahamiaji 400 Wazama Baharini, Korea Kaskazini Kupiga Nyuklia

WAHAMIAJI takribani 400, wengi wao wanaohisiwa kutoka nchini Somalia, wanahofiwa kuzama katika Bahari ya Mediterranean wakijaribu kuvuka kuelekea barani Ulaya. Kwa mujibu wa taarifa kutoka…

Continue Reading....

Mathias Chikawe Apewa Ubalozi wa Tanzania Japan

Posted on: April 18, 2016 - jomushi
Post Tags: Mabalozi
Mathias Chikawe Apewa Ubalozi wa Tanzania Japan

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amemteuwa Mathias Chikawe kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo…

Continue Reading....

Mashabiki Wasimba Wawekwa Kikaangoni

Posted on: April 18, 2016 - Yohana Chance
Mashabiki Wasimba Wawekwa Kikaangoni

Shirkisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limelaani kitendo cha baadhi ya mashabiki wa mpira wa miguu kufanya vurugu mara baada ya mchezo kati ya…

Continue Reading....

Arsenal, Lecester City Mambao Yazidi Kuwa Magum

Posted on: April 17, 2016 - Yohana Chance
Arsenal, Lecester City Mambao Yazidi Kuwa Magum

Klabu ya Arsenal imezidi Kuboteza matumaini ya kunyakua taji la ligi kuu la uingereza baada ya kulazimishwa sare na timu ya Crystal Palace ya Bao…

Continue Reading....

Toto Yaharibu Hesabu za Simba Taifa

Posted on: April 17, 2016 - Yohana Chance
Toto Yaharibu Hesabu za Simba Taifa

Klabu ya Simba imefungwa bao 1-0 na Toto Africans ya Mwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa…

Continue Reading....

MINING COMPANIES SIGNIFICANT CONTRIBUTORS TO ECONOMY, OPERATE TRANSPARENTLY

Posted on: April 17, 2016 - jomushi
Post Tags: Mining
MINING COMPANIES SIGNIFICANT CONTRIBUTORS TO ECONOMY, OPERATE TRANSPARENTLY

TANZANIA CHAMBER OF MINERALS AND ENERGY PRESS STATEMENT MINING COMPANIES SIGNIFICANT CONTRIBUTORS TO ECONOMY, OPERATE TRANSPARENTLY Recently, the mining sector has seen negative media reports…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari