Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 210

Category: Trending

Demba Ba Avunjika Mguu, Matatani Kurudi Dimbani

Posted on: July 18, 2016 - Yohana Chance
Demba Ba Avunjika Mguu, Matatani Kurudi Dimbani

Mshambulizi wa zamani wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Demba Ba amevunjika mguu akiwa uwanjani katika mechi ya ligi kuu ya Uchina. Raia huyo wa…

Continue Reading....

Waziri Mbarawa Awapa Miezi Miwili ‘Wachina’ Kumaliza Barabara ya Nakapanya

Posted on: July 18, 2016 - jomushi
Post Tags: barabara
Waziri Mbarawa Awapa Miezi Miwili ‘Wachina’ Kumaliza Barabara ya Nakapanya

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ametoa miezi miwili kwa mkandarasi wa kampuni ya M/s Jiangxi Geo-Engineering (Group) Corporation anayejenga sehemu ya…

Continue Reading....

Kilio cha Mrema Chasikika Ikulu, Rais Dk Magufulia Ampa Kazi

Posted on: July 16, 2016July 16, 2016 - jomushi
Post Tags: Rais Dk. Magufulia
Kilio cha Mrema Chasikika Ikulu, Rais Dk Magufulia Ampa Kazi

KILIO cha muda mrefu cha Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Agustino Lyatonga Mrema kuomba asisahaulike katika ufalme wa Rais Dk…

Continue Reading....

Ubelgiji Yatimua Meneja Wao, Shevchenko Apata Dili

Posted on: July 16, 2016 - Yohana Chance
Ubelgiji Yatimua Meneja Wao, Shevchenko Apata Dili

Ubelgiji imefuta kocha wa timu ya taifa Marc Wilmots baada ya timu yake iliyopigiwa upatu na yenye wachezaji wengi nyota kushindwa kusonga mbele zaidi ya…

Continue Reading....

Hawa Ndio Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Ligi kuu

Posted on: July 16, 2016 - Yohana Chance
Hawa Ndio Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Ligi kuu

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limetangaza wanamichezo wote wanaowania tuzo 13 kwenye hafla ya washindi wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2015/2016…

Continue Reading....

Matokeo Kidato cha Sita; Sekondari Kongwe za Serikali Zaamka

Posted on: July 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Matokeo
Matokeo Kidato cha Sita; Sekondari Kongwe za Serikali Zaamka

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha Sita, 2016 huku shule 10 zilizofanya vizuri ni pamoja na Sekondari za Kisimiri-Arusha, Feza…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari