Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 211

Category: Trending

Naibu Waziri Jaffo Aguswa na Jitihada za Akinamama wa Kitanga, Kisarawe

Posted on: July 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Akinamama
Naibu Waziri Jaffo Aguswa na Jitihada za Akinamama wa Kitanga, Kisarawe

     Bi. Anna Salado, Mkurugenzi wa taasisi ya Women for Africa Foundation ya Hispania, akizungumza na akinamama wa kikundi cha Green Voices katika Kijiji…

Continue Reading....

Askofu Dk. Gadi Kuongoza Maombi ya Siku 1001 Kuliombea Taifa

Posted on: July 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Maombi
Askofu Dk. Gadi Kuongoza Maombi ya Siku 1001 Kuliombea Taifa

 Mchungaji Palemo Massawe (kulia), akitoa ufafanuzi kwa wanahabari kuhusu mkutano huo. Askofu Dk. Charles Gadi (wa pili kushoto), na wachungaji wenzake wakiomba baada ya kuzungumza na…

Continue Reading....

Polisi Mbeya Yamshikilia Baba Aliyetelekeza Mtoto Wake Mlemavu

Posted on: July 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Unyanyasaji
Polisi Mbeya Yamshikilia Baba Aliyetelekeza Mtoto Wake Mlemavu

Na Emanuel Madafa, Mbeya JESHI la Polisi kupitia dawati la jinsia na watoto linamshikilia Baba mzazi wa kijana mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na…

Continue Reading....

Wananchi Kufanya Malipo ya Kodi za TRA Popote kwa NMB

Posted on: July 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Benki ya NMB Plc
Wananchi Kufanya Malipo ya Kodi za TRA Popote kwa NMB

WANANCHI sasa wanaweza kulipa malipo ya kodi mbalimbali za Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa kutumia Benki ya NMB. Akizungumza na waandishi wa habari leo…

Continue Reading....

Wabaya wa Yanga Wameanza Zoezi la Kitisho

Posted on: July 15, 2016 - Yohana Chance
Wabaya wa Yanga Wameanza Zoezi la Kitisho

Wapinzani wa klabu ya Young Africans, katika michuano ya kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Medeama kutoka Ghana, wametua Dar es Salaam tayari kwa mechi…

Continue Reading....

Eng. Nyamhanga Awataka Waliolipwa Fidia Kupisha Ujenzi Barabara ya Arusha Bypass

Posted on: July 14, 2016 - jomushi
Post Tags: Sekta ya Ujenzi
Eng. Nyamhanga Awataka Waliolipwa Fidia Kupisha Ujenzi Barabara ya Arusha Bypass

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta ya Ujenzi) Eng. Joseph Nyamhanga amewataka wakazi wa Arusha ambao wameshalipwa fidia kupisha ujenzi wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari