Kikosi cha Mashetani wekundu Manchester united kimeenda China katika kujiandaa na msimu mpya.Wakiwa huko China, United watacheza mechi mbili ya kwanza watacheza na klabu ya…
Continue Reading....Category: Trending
Kampuni ya Bia ya Serengeti Yazinduwa Bomba la Kudhibiti Maji Taka
Naibu Waziri ofisi ya Makamu wa Raisi Mazingira Mheshimiwa Luhaga Mpina (katikati) akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Helene Weesie wakiongozana kuelekea kwenye…
Continue Reading....Serikali Kuunganisha Mikoa ya Mbeya na Njombe kwa Lami
SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kuanza ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete kwa kiwango cha lami yenye urefu wa KM…
Continue Reading....Waandishi wa Habari Watembelea Hifadhi ya Taifa ya Gombe
Baadhi ya wanahabari wakiwa katika Boti wakielekea Hifadhi ya Taifa ya Gombe, hifadhi maarufu kwa kuwa na mnyama aina ya Sokwe mtu. Watalii wakielekea Hifadhi…
Continue Reading....NMB Yaorodhesha Hati Fungani zake kwenye soko la hisa – DSE
BENKI ya NMB leo imeorodhesha kiasi cha shilingi Bilioni 41.4 ilichokipata kutokana na mauzo ya hati fungani katika Soko…
Continue Reading....Rais Dk Shein Azindua Kamati ya Ukusanyaji Fedha
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein ameizindua rasmin Kamati ya Rais ya Kukusanya fedha kwa ajili ya…
Continue Reading....