Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 207

Category: Trending

Chama cha NCCR- Mageuzi Chamkosoa Rais Dk Magufuli

Posted on: July 20, 2016 - jomushi
Post Tags: NCCR-MAGEUZI
Chama cha NCCR- Mageuzi Chamkosoa Rais Dk Magufuli

    Mkuu wa Idara ya Kampeni na Uchaguzi wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Faustine Sungura (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama…

Continue Reading....

Kampuni ya Tigo Yasaidia Madawati 350 kwa Shule 12 za Msingi

Posted on: July 20, 2016 - jomushi
Post Tags: Tigo Tanzania
Kampuni ya Tigo Yasaidia Madawati 350 kwa Shule 12 za Msingi

  Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri akipokea madawati 350 yenye thamani ya shilingi milioni 58 kwa shule 12 za msingi katika wilaya ya…

Continue Reading....

NSSF Yasaidia Milioni 50, Ujezi wa Shule ya Sekondari Lindi

Posted on: July 20, 2016 - jomushi
Post Tags: NSSF
NSSF Yasaidia Milioni 50, Ujezi wa Shule ya Sekondari Lindi

SHIRIKA la Hifadhi ya Taifa ya Jamii NSSF Makao Makuu ikishirikiana na Ofisi ya Mkoa wa Lindi Imechanga Jumla ya Shilingi Milioni 50 Kwa Ajili ya Kuchangia Harambee…

Continue Reading....

Bodi MSD Yawavua Ukurugenzi Waliosimamishwa na Waziri

Posted on: July 20, 2016 - jomushi
Post Tags: MSD Tanzania
Bodi MSD Yawavua Ukurugenzi Waliosimamishwa na Waziri

BODI ya Wadhamini ya Bohari ya Madawa nchini (MSD) imewavua ukurugenzi wakurugenzi wawili waliosimamishwa kazi hivi karibuni na kumfukuza kazi mmoja baada ya kukutwa na…

Continue Reading....

TFF Nayo Yachangia Madawati 200 Ili Kuimalisha Elimu

Posted on: July 20, 2016July 20, 2016 - Yohana Chance
TFF Nayo Yachangia Madawati 200 Ili Kuimalisha Elimu

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa madawati 200 ikiwa ni sehemu ya mapato ya Ngao ya Hisani utakaochezwa Agosti 17, 2016. TFF inaunga…

Continue Reading....

Rais wa Zanzibar Dk.Shein Amewataka Wananchi Kutumia Vizuri Mitandao

Posted on: July 20, 2016July 20, 2016 - Yohana Chance
Rais wa Zanzibar Dk.Shein Amewataka Wananchi Kutumia Vizuri Mitandao

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kutumia vizuri mitandao ili kulinda utamaduni pamoja na kuacha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari