Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 55

Category: featured

Bustani ya Kupumzikia Yageuzwa Makazi!

Posted on: April 24, 2014April 24, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: Dar, kijana, makazi, Vijana
Bustani ya Kupumzikia Yageuzwa Makazi!

Pichani, ni eneo la Umoja Wa Vijana, Mtaa wa Kipande karibu na Exim Bank, inaonekana nguo zikiwa zimeanikwa kwenye Bustani hiyo au kwa ung’eng’e Park.…

Continue Reading....

Wakazi wa Jangwani Waanza Kurejea Kwenye Makazi Yao Licha ya Maafa Yaliyowakuta!

Posted on: April 24, 2014April 24, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: Dar, maafa, makazi, wakazi
Wakazi wa Jangwani Waanza Kurejea Kwenye Makazi Yao Licha ya Maafa Yaliyowakuta!

Kama picha zilivyonaswa na thehabari hapo juu, inaonekana wakazi wa Jangwani wakirejesha makazi yao licha ya maafa makubwa yaliyowakuta kutokana na mvua kubwa zilizolikumba jiji…

Continue Reading....

Asasi za Kiraia Zatoa Tamko Juu Mwenendo Bunge la Katiba

Posted on: April 24, 2014 - jomushi
Asasi za Kiraia Zatoa Tamko Juu Mwenendo Bunge la Katiba

Mwenyekiti wa Umoja Asasi za Kiraia, Bw. Irenei Kiria akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Tathimini  zilizofanywa na asasi za kiraia kuhusu mwenendo wa…

Continue Reading....

Haya Ndio Maswali Saba ya Jaji Warioba kwa Wajumbe Bunge la Katiba

Posted on: April 24, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, tume ya katiba
Haya Ndio Maswali Saba ya Jaji Warioba kwa Wajumbe Bunge la Katiba

ALIYAKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ameuliza maswali saba ya msingi kwa wajumbe wa Bunge la Katiba wanaopinga Rasimu ya…

Continue Reading....

Waziri Hawa Ghasia Aongoza Mazishi ya DC Chang’a Mkoani Iringa

Posted on: April 23, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Kifo DC
Waziri Hawa Ghasia Aongoza Mazishi ya DC Chang’a Mkoani Iringa

WAZIRI wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Hawa Ghasia leo amemwakilisha Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda katika mazishi ya aliyekuwa…

Continue Reading....

Mgonjwa wa Akili Aamua Kujenga Makazi Yake Nje ya Hospitali ya Magomeni!

Posted on: April 23, 2014April 23, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: akili, hospitali, magomeni, mgonjwa, wagonjwa
Mgonjwa wa Akili Aamua Kujenga Makazi Yake Nje ya Hospitali ya Magomeni!

Tatizo sio tu kwamba Mgonjwa huyo ameamua kujenga nyumba yake nje ya hospitali na Mamlaka husika kumuacha apete, bali pia nyumba yenyewe kama inavyoonekana kwenye…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari