Na dev.kisakuzi.com, Dar es Salaam MAHAFALI ya pili ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) yamefanyika leo jijini Dar es Salaam kwenye ukumbi wa mikutano…
Continue Reading....Category: featured
Maandalizi ya Kusheherekea Miaka 50 ya Muungano
Pichani juu, Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni zikiwa zimepambwa kwa bendera ya Tanzania, sambamba na maeneo mengine ya Jiji la Dar. Wakati mabilioni…
Continue Reading....Wanavijiji Mbeya Walaumiana Udhibiti wa Mimba kwa Wanafunzi
Na Joachim Mushi, Mbeya Vijijini WANAVIJIJI wa vijiji vya Shibolya, Usoha Njiapanda, Simambwe, Ikhoho na Ilembo Usafwa vyote vya wilayani Mbeya Vijijini wametupiana lawama kuhusiana…
Continue Reading....Siku 67 za Mipasho, Matusi Bungeni Zamalizika..!
BUNGE Maalumu la Katiba linaahirishwa leo baada ya kukutana kwa siku 67 bila kupitisha hata ibara moja kati ya 240 zilizomo katika Rasimu ya Katiba.…
Continue Reading....Kampuni ya UNHWA Yaisaidia NIMR Uvumbuzi Dawa za Mimea
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya UNHWA ya Jamhuri ya Korea Kusini Bw. Young Woo Jin na ujumbe wake na uongozi wa…
Continue Reading....JK Akomalia Madawa ya Kulevya Viwanja vya Ndege
Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameiamuru Wizara ya Uchukuzi na taasisi zake kuchukua hatua za mara moja kukomesha…
Continue Reading....