Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 311

Category: featured

Maadhimisho ya ‘Comunio’ Kanisa St. Joseph Dar Jana

Posted on: June 3, 2013 - jomushi
Maadhimisho ya ‘Comunio’ Kanisa St. Joseph Dar Jana

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo jana aliongoza ibada maalumu ya kutoa daraja la ‘comunio’ kwa takribani…

Continue Reading....

Tume ya Pinda Yaibua Madudu Yanayozorotesha Elimu

Posted on: June 3, 2013 - jomushi
Tume ya Pinda Yaibua Madudu Yanayozorotesha Elimu

TUME ya Kuchunguza Matokeo ya Kidato cha Nne iliyoundwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda imebaini zaidi ya matatizo 20 yanayozorotesha kiwango cha elimu na hata…

Continue Reading....

Mwelekeo wa Tanzania Mpya Kujulikana Leo Dar

Posted on: June 3, 2013 - jomushi
Mwelekeo wa Tanzania Mpya Kujulikana Leo Dar

MWELEKEO wa Taifa la Tanzania utaanza kujulikana leo mchana Tume ya Mabadiliko ya Katiba itakapozindua rasimu ya Katiba Mpya kwenye tukio la kihistoria litakalofanyika kwenye…

Continue Reading....

Ban Ki Moon Ampongeza Rais Kikwete Usuluishi DRC

Posted on: June 3, 2013 - jomushi
Ban Ki Moon Ampongeza Rais Kikwete Usuluishi DRC

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki Moon amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutoa…

Continue Reading....

Rais Kikwete: Tumeanza Kukomesha Aibu ya Mauaji ya Albino

Posted on: June 3, 2013 - jomushi
Rais Kikwete: Tumeanza Kukomesha Aibu ya Mauaji ya Albino

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete amelaani kwa mara nyingine vitendo “vya aibu” vya mauaji ya albino kwa sababu za kishirikina,…

Continue Reading....

Salshia Isidore Atwaa Taji la Redd’s Miss Geita 2013

Posted on: June 3, 2013 - jomushi
Salshia Isidore Atwaa Taji la Redd’s Miss Geita 2013

Na Father Kidevu Blog, Geita MREMBO Salshia Isidore amechaguliwa kuwa Redd’s Miss Geita 2013 baada ya kuwashinda warembo wenzake 12 katika shindano lililifanyika Jumamosi Juni 1,  kwenye ukumbi wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari