Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 312

Category: featured

Tanzania Kunufaika Zaidi na Bandari ya Mtwara na Tanga

Posted on: June 2, 2013 - jomushi
Tanzania Kunufaika Zaidi na Bandari ya Mtwara na Tanga

Na Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es Salaam   IMEELEZWA kuwa Tanzania itanufaika zaidi kibiashara kupitia bandari ya Dar es salaam, Mtwara na Tanga kutokana…

Continue Reading....

Wake za Marais Wafundishwa Ujasiriamali Japan

Posted on: June 2, 2013June 2, 2013 - jomushi
Wake za Marais Wafundishwa Ujasiriamali Japan

  Na Anna Nkinda – Yokohama WAKE wa marais wa Afrika wamefundishwa jinsi ya kutengeneza bidhaa za mikono aina ya mapambo ya nywele na nguo zinatengenezwa…

Continue Reading....

Waziri Pinda ‘Avamia’ Kambi ya Wajenzi wa Kichina

Posted on: June 2, 2013 - jomushi
Waziri Pinda ‘Avamia’ Kambi ya Wajenzi wa Kichina

WAZIRI Mkuu Mizengo Jumamosi, Juni Mosi, 2013 alilazimika kufanya ziara ya ghafla kwenye kambi ya wajenzi wa barabara ya Kanazi-Kizi-Kibaoni ili kupata maelezo ni kwa…

Continue Reading....

Mahitaji ya Mkaa Tanzania Yateketeza Hekta Laki Nne Kwa Mwaka

Posted on: June 2, 2013 - jomushi
Mahitaji ya Mkaa Tanzania Yateketeza Hekta Laki Nne Kwa Mwaka

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Tanzania inapoteza kiasi cha hekta 400,000 za misitu kila mwaka kwa sababu ya ukataji miti unaochochewa na matumizi ya…

Continue Reading....

Kinana Anguruma Makambako Mkoani Njombe

Posted on: June 2, 2013 - jomushi
Kinana Anguruma Makambako Mkoani Njombe

Continue Reading....

Waziri Pinda Aweka Jiwe la Msingi Chuo cha Afya Namanyere

Posted on: June 2, 2013 - jomushi
Waziri Pinda Aweka Jiwe la Msingi Chuo cha Afya Namanyere

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali itasaidia kadri itakavyoweza kwenye ujenzi wa Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Mt. Bakhita iliyopo Namanyere, wilayani Nkasi,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari