Na Joachim Mushi MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa amekipa usajili wa kudumu Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) huku akivitaka vyama vya…
Continue Reading....Category: featured
Rasimu ya Katiba Mpya Yakamilika, Tanzania Mpya Yaja
TUME ya Mabadiliko ya Katiba jana ilizindua rasimu ya Katiba Mpya inayopendekeza kuwapo kwa mabadiliko makubwa kwenye mfumo wa utawala, yakiwamo ya kuwa na Serikali…
Continue Reading....Bajeti ya EAC Yapungua kwa Dola Milioni 10
Na James Gashumba, EANA MAKADIRIO ya bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iliyowasilishwa mwishoni mwa wiki kwa mwaka wa fedha wa 2013/2014 imepunguza matumizi…
Continue Reading....Watumiaji Kiswahili Nchini Japan Wazidi Kuongezeka
Na Anna Nkinda – Yokohama WATUMIAJI wa lugha ya Kiswahili wamezidi kuongezeka nchini Japani hadi kufikia hatua ya kuwa na mshindano kwa wanafunzi wa chuo kikuu…
Continue Reading....Sekondari za Kata Mzigo Mpya kwa Wakuu wa Shule
Na Thehabari, Rombo KUANZISHWA kwa Sekondari za Kata maeneo mbalimbali nchini kulikuwa na matumaini makubwa kwa wananchi. Maeneo mengi uitikio wa wananchi umekuwa mkubwa na…
Continue Reading....