Kumbi za Video Zawaathiri Wanafunzi Vijijini UTARATIBU wa baadhi ya maeneo ya nje ya miji kuonesha ‘video’ bado unachangamoto kubwa kutokana na kile kuathiri wanafunzi…
Continue Reading....Category: featured
Nassari Asema Lowassa Anahusika Kunipiga, Mbowe, Lema Wahojiwa
MBUNGE wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari amemtuhumu Mbunge wa Monduli Edward Lowassa kwamba anahusika na kipigo alichokipata kutokana na chuki aliyonayo kwake. Aidha amemtuhumu…
Continue Reading....Mizengo Pinda: Nasema Wapigwe tu, Watakaokataa Kutii Amri …!
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameagiza vyombo vya dola kuwashughulikia kwa kuwapiga wale watakaokataa kutii amri wakati wakifanya vitendo vya uvunjifu wa amani. Akizungumza katika Kipindi…
Continue Reading....Watanzania Watakiwa Kupiga Magoti na Kuomba
Na Anna Nkinda – Maelezo, Mbeya WATANZANIA wametakiwa kupiga magoti na kuomba kila mtu kwa imani yake ili mwenyezi Mungu aweze kuwalaani watu ambao wanatishia…
Continue Reading....General Electric and Symbion Power to Help Boost Tanzania’s Power Supply
GENERAL Electric and Symbion Power Tanzania Ltd, today signed a “Cooperation Agreement” with the objective of developing the 400MW gas-fired power plant in Mtwara to…
Continue Reading....Rais Kikwete Afanya Mazungumzo na Wajumbe BADEA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Juni 20, 2013, amekutana na kufanya mazungumzo na wajumbe wa Bodi ya Benki ya Kiarabu…
Continue Reading....