Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 293

Category: featured

Mbunge Nkamia Adaiwa Kutaka Kumpiga Mbunge, Amporomoshea ‘Matusi’

Posted on: June 22, 2013 - jomushi
Mbunge Nkamia Adaiwa Kutaka Kumpiga Mbunge, Amporomoshea ‘Matusi’

MBUNGE wa Kondoa Kusini, Juma Nkamia (CCM), kwa mara nyingine ameingia katika kashfa nzito akituhumiwa kutaka kumpiga Mbunge wa Viti Maalumu CUF, Moza Abeid ndani…

Continue Reading....

Risali Zilitukwamisha Kumkamata Mlipuaji Bomu Arusha – Mashuhuda

Posted on: June 22, 2013 - jomushi
Risali Zilitukwamisha Kumkamata Mlipuaji Bomu Arusha – Mashuhuda

MASHUHUDA wa tukio la mlipuko wa bomu uliotokea mwishoni mwa wiki iliyopita Jijini Arusha, wamedai kumwona na kumtambua mtu aliyehusika na tukio hilo lakini wanasema…

Continue Reading....

Washindi wa Redds Miss Kinondoni Talent 2013 Wapatikana

Posted on: June 21, 2013 - jomushi
Washindi wa Redds Miss Kinondoni Talent 2013 Wapatikana

Jaji Mkuu wa shindano hilo Mtayarishaji wa Muziki, Man Walter akiwa na msaidizi wake wakati wa shindano hilo.  Na Cathbert Angelo, Kajunason Blog JUMLA ya…

Continue Reading....

Kampuni ya TANSEED International Kudhibiti Magugu Hatari

Posted on: June 21, 2013June 21, 2013 - jomushi
Kampuni ya TANSEED International Kudhibiti Magugu Hatari

Eleuteri Mangi – Maelezo KAMPUNI ya mbegu ya TANSEED International yenye Makao Makuu Mjini Morogoro imeandaa maonesho ya shamba darasa ya teknolojia mpya ya mbegu…

Continue Reading....

EOTF Kutoa Mafunzo kwa Wajasiliamali

Posted on: June 21, 2013 - jomushi
EOTF Kutoa Mafunzo kwa Wajasiliamali

Na Magreth Kinabo – Maelezo JUMLA ya wajasiliamali wapatao 250 kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani watapatiwa mafunzo ya elimu ya ujasiriamali, uzalishaji…

Continue Reading....

Wanaharakati Waichambua Bajeti Mpya ya Serikali

Posted on: June 21, 2013 - jomushi
Wanaharakati Waichambua Bajeti Mpya ya Serikali

MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa kushirikiana na wanaharakati ngazi ya jamii kutoka mikoa ya Dar es Salaam, Mbeya, Morogoro, Pwani, Shinyanga na wadau wengi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari