RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Tanzania imepata mafanikio makubwa katika kupambana na ugonjwa wa Ukimwi lakini bado kazi…
Continue Reading....Category: featured
Ofisi ya Bunge Yamhamishia Nassari Hospitali ya Muhimbili
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa matibabu zaidi, baada ya kuumizwa kwenye vurugu zilizotokea Kata ya Makuyuni, Wilaya…
Continue Reading....Wabunge Chadema Wasimulia Mkong’oto wa Rumande
WABUNGE wanne wa Chadema, ambao waliachiwa na polisi kwa dhamana wamesimulia mateso waliyoyapata wakiwa rumande baada ya kukamatwa juzi. Vigogo hao; Mbunge wa Mpanda Mjini…
Continue Reading....Hospitali ya KKKT Arusha ‘Yaiumbua’ Chadema
Na Shaaban Mdoe na Lilian Joel, Arusha UONGOZI wa hospitali ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ya Selian jijini Arusha umekanusha vikali taarifa…
Continue Reading....Mwandishi Channel Ten Afariki Dunia, Kuzikwa Jumamosi Tinde
Mwandishi Wetu, Shinyanga MWANDISHI wa habari wa Kituo cha Televisheni ya ‘Channel Ten’ Mkoani Shinyanga, Charles Hilila amefariki dunia usiku wa kuamkia jana akiwa amelazwa…
Continue Reading....Rombo Waomba Elimu na Wataalam wa Homa ya Nguruwe
Na Mwandishi Wetu, Rombo SIKU chache baada ya kuripotiwa kuwepo kwa ugonjwa wa homa ya nguruwe wilayani Rombo, baadhi ya wakazi wa wilaya hiyo wameiomba…
Continue Reading....