Mshambuliaji hatari wa Bongo Starz, Amir, akiwa kwenye harakati za kuzitafuta nyavu za Ivory CoastBeki tishio wa Bongo Starz, David, akikokota mpira peke yake kabisa.....Jamaa wa Ivory Coast (jezi rangi ya machungwa) kaamua kwenda sambamba na Davempambano unaendelea.......Kifaa kingine cha Bongo Starz, Marcus akijiandaa kutoa pasisekeseke.....