Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 5

Author: Yohana Chance

Robert Lewandowski Azua Balaa Uwanjani

Posted on: November 14, 2016 - Yohana Chance
Robert Lewandowski Azua Balaa Uwanjani

Mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski aliangukiwa na fashifashi iliyorushwa kutoka jukwaa la watazamaji katika pambano lililokuwa na hamasa nyingi kati ya Poland na Romania. Mshambuliaji…

Continue Reading....

Taifa Stars Yaifuata Zimbabwe Kukiminya Kesho kutwa

Posted on: November 11, 2016 - Yohana Chance
Taifa Stars Yaifuata Zimbabwe Kukiminya Kesho kutwa

Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro kutoka Kampuni ya Bia Tanzania imeondoka leo Ijumaa saa 7.15 mchana…

Continue Reading....

Rais Magufuli Awaongoza Watanzania Kumuaga Sitta

Posted on: November 11, 2016November 11, 2016 - Yohana Chance
Rais Magufuli Awaongoza Watanzania Kumuaga Sitta

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 11 Novemba, 2016 amewaongoza viongozi na wananchi wa Mkoa wa Dar es…

Continue Reading....

Mungai Alivyoagwa Ukumbi wa Karimjee

Posted on: November 11, 2016 - Yohana Chance
Mungai Alivyoagwa Ukumbi wa Karimjee

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Joseph Muungai katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar…

Continue Reading....

Rais Magufuli Alivyowatembelea Wagonjwa Muhimbili

Posted on: November 11, 2016 - Yohana Chance
Rais Magufuli Alivyowatembelea Wagonjwa Muhimbili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mke wake mama Janeth Magufuli aliyelazwa katika Hospitali ya Muhimbili wodi ya…

Continue Reading....

Mwanamuziki Mkongo Nchini Canada Afariki Dunia

Posted on: November 11, 2016 - Yohana Chance
Mwanamuziki Mkongo Nchini Canada Afariki Dunia

Mwimbaji na mtunzi mwenye sifa tele nchini Canada, Leonard Cohen, amefariki akiwa na umri wa miaka 82. Alizaliwa huko Montreal na kuanza taaluma ya utunzi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari