Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 190

Author: Yohana Chance

Liverpool Ndani ya Capital One Leo

Posted on: January 5, 2016 - Yohana Chance
Liverpool Ndani ya Capital One Leo

Mechi za kwanza za Nusu Fainali ya Capital One Cup, ambalo ni Kombe la Ligi huko England, zitachezwa leo Jumanne Usiku na kesho Jumatano Januari…

Continue Reading....

Simba SC Yashikwa Mapinduzi Cup, Pata Ratiba, na Matokeo Kamili

Posted on: January 5, 2016 - Yohana Chance
Simba SC Yashikwa Mapinduzi Cup, Pata Ratiba, na Matokeo Kamili

MABINGWA watetezi, Simba SC wameanza kwa sare ya 2-2 na Jamhuri ya Pemba katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi mchezo uliochezwa usiku wa…

Continue Reading....

Hiddink Anamatumaini Chelsea Kumaliza Nne Bora

Posted on: January 5, 2016 - Yohana Chance
Hiddink Anamatumaini Chelsea Kumaliza Nne Bora

Meneja wa Chelsea Guus Hiddink amesema bado inawezekana klabu hiyo kumaliza katika nne bora Ligi ya kuu ya Uingereza baada matokeo mazuri ya timu hiyo…

Continue Reading....

Benitez Atimuliwa Real Madrid, Zidane Apewa Kazi

Posted on: January 5, 2016 - Yohana Chance
Benitez Atimuliwa Real Madrid, Zidane Apewa Kazi

kocha Rafael Benitez ambaye ana Miezi 7 tu katika Mkataba wake wa Miaka Mitatu ametimuliwa na Uongozi wa klabu ya Real Madrid kutokana na Matokeo…

Continue Reading....

Simba, URA Kibaruani Leo Mapinduzi Cup

Posted on: January 4, 2016 - Yohana Chance
Simba, URA Kibaruani Leo Mapinduzi Cup

Michuano ya kombe la mapinduzi 2016 iliyoanza mwishoni inaendelea tena hii leo Jumatatu kwa michezo miwili ambapo JKU ya Zanzibar itamenyana na URA ya Uganda,…

Continue Reading....

Pata Msimamo Ligi Kuu ya Uingereza, UJerumani, Hispania na Italia

Posted on: January 4, 2016 - Yohana Chance
Pata Msimamo Ligi Kuu ya Uingereza, UJerumani, Hispania na Italia

Msimamo Huu ni Kablaya Michezo ya Jana

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari