Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 188

Author: Yohana Chance

Messi Apiga Bao Mbili Copa del Rey

Posted on: January 7, 2016January 7, 2016 - Yohana Chance
Messi Apiga Bao Mbili Copa del Rey

Mshambuliaji w aklabu ya Barcelona Lionel Messi amekuwa shujaa baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Espanyol katika mchezo wa kwanza…

Continue Reading....

Habari Njema Kwa Arsenal Sanchez Arejea Dimbani

Posted on: January 7, 2016 - Yohana Chance
Habari Njema Kwa Arsenal Sanchez Arejea Dimbani

Winga wa klabu ya Arsenal Alexis Sanchez anatarajia kurejea dimbani mwishoni mwa wiki ambapo timu hiyo itakapoumana na Sunderland katika Kombe la FA. Mchezaji huyo…

Continue Reading....

Sababu Saba Fabregas Kurudi Arsenal Januari Hii

Posted on: January 7, 2016January 7, 2016 - Yohana Chance
Sababu Saba Fabregas Kurudi Arsenal Januari Hii

1.Mchezaji Muhimu Kwa Timu Katika hali halisi ya timu hiyo Fabregas atakuwa mchezaji muhimu kwa kikosi cha Arsenal kama ilivyokuwa kwa kina Mathieu Flamini, Tomas…

Continue Reading....

FA Cup Kupigwa Mwishoni Mwa Wiki

Posted on: January 7, 2016 - Yohana Chance
FA Cup Kupigwa Mwishoni Mwa Wiki

M echi za Raundi ya 3 ya Kombe la FA , ambalo kwa sasa linaitwa Emirates FA Cup ambalo huzikutanisha Klabu za Ligi Kuu England…

Continue Reading....

Simba SC Yatinga Nusu Fainali Mapinduzi Cup

Posted on: January 7, 2016 - Yohana Chance
Simba SC Yatinga Nusu Fainali Mapinduzi Cup

SIMBA SC imebisha hodi Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi, kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya URA ya Uganda katika mchezo wa Kundi A…

Continue Reading....

Mwamuzi Aliyefanya Madudu Mechi Ya Azam na Mtibwa Atimuliwa

Posted on: January 6, 2016 - Yohana Chance
Mwamuzi Aliyefanya Madudu Mechi Ya Azam na Mtibwa Atimuliwa

Mwamuzi wa pembeni Dalila Jaffar Mtwana aliyechezesha mechi kati ya Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar ameondolewa kwenye orodha ya waamuzi watakaoendelea kuchezesha mashindano ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari