Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 44

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

Kheri ya Mfungo wa Ramadhani wadau wote!

Posted on: August 3, 2011August 3, 2011 - Rungwe Jr.
Kheri ya Mfungo wa Ramadhani wadau wote!

WAISLAM nchini Tanzania tarari wameungana na wenzao duniani kote kuanza mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhani. Uongozi na wafanyakazi wa dev.kisakuzi.com unawatakia Ramadhani njema!

Continue Reading....

Speaker’s Chair too tough on Opposition MPs

Posted on: July 30, 2011July 30, 2011 - Rungwe Jr.
Speaker’s Chair too tough on Opposition MPs

THE Speaker’s chair yesterday continued to be tough on opposition MPs this time forcing three legislators outside the Parliament premises. Deputy Speaker, Job Ndugai, seeming…

Continue Reading....

Matukio Ya Bungeni Dodoma Leo

Posted on: July 26, 2011 - Rungwe Jr.
Matukio Ya Bungeni Dodoma Leo

Naibu waziri Ofisi  ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Aggrey Mwanri  akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi Dkt. Anthony Mbassa…

Continue Reading....

Guninita ‘amvaa’ Sitta

Posted on: July 23, 2011 - Rungwe Jr.
Guninita ‘amvaa’ Sitta

• Adai ni mzigo, anawadanganya na kuwapotosha wananchi • Asisitiza ni sehemu ya tatizo la mgawo wa umeme • Asema si mgeni serikalini, ni mchochezi,…

Continue Reading....

Mkurugenzi Takukuru amsafisha tena Chenge!

Posted on: July 23, 2011 - Rungwe Jr.
Mkurugenzi Takukuru amsafisha tena Chenge!

* Ni kuhusu suala la rada, adai wezi ni Waingereza * Asema Chenge anachunguzwa alikopata ‘vijisenti’ Na Mary Mwita, Arusha MKURUGENZI  wa Taasisisi ya  Kupambana…

Continue Reading....

Maonyesho ya kimataifa ya Utamaduni wa Kiafrika 2011 yalivyofana huko Ujerumani!

Posted on: July 21, 2011 - Rungwe Jr.
Maonyesho ya kimataifa ya Utamaduni wa Kiafrika 2011 yalivyofana huko Ujerumani!

Umati wa watu wa rangi zote ukifurahia vimbwanga vinavyoendelea jukwaani Binti wa Lucky Dube, Nkulee Dube akionyesha vitu vyake kwenye maonyesho hayo Waziri wa Utamaduni…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari